Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

Hiyo ni vita kufa ni kitu Cha kawaida kwa askari ila inasikitisha kufa kwa ajili ya kumtetea mpuuzi mmoja anayejifanya ana nguvu ili Hali ni Mwepesi tu, kama hujawahi ona askari wa Urusi wakifa kama kuku nenda jukwa la picha Kuna Uzi wa Figaniga upitie japo kwa sekunde 10 tu
Ni ngumu kuamini taifa linalosemekana lina nguvu, watu wenye akili n.k kushikwa akili na mtu mmoja (Putin).
 
Sema hivi watoe ahadi ya kutokujiunga NATO na majimbo yaliyomegwa ndio basi tena warusi wayachukue tu

Elewa kingereza ustadhi, Urusi imeahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine endapo wataahidi kutojiunga NATO, ina maana wataondoka kote.
 
Wabeba javellin walotekefeza vifaru vingapi vya Urusi - tuliona kilicho kuwa kinaendelea kwenye luninga - Waukraine waliteketeza vifaru vichache vya Urusi ndio maana msafara ulikuwa unaendelea bila wasi wasi, mtu ulikuwa unaona ni kufaru kimaja kimoja kinacho lipuliwa na si vingi kivile - acheni kuwadanganya watu, by the way video clips nyingine zilizokuwa zinaonyeshwa na jeshi la Ukraine yalikuwa wanazicopy kutoka kwenye archive ya vita ya 2014/15 wakati Urusi ilipo vilipuwa vifaru vingi na magari ya deraya ya jeshi la Ukraine - lakini kwenye propaganda wanageuza kibao na kujifanya wao ndio walitekeleza mashambilizo hayo.

Jeshi la Ukraine ni walaghai sana na waongo ndio maana wanaendelea kuzuga kuhusu their 2nd impending massive counter offensive dhidi ya Urusi baada ya kwanza kishindwa vibaya sana na kizitia aibu mataifa ya magharibi specifically the USA - lakini inaelekea Biden bado yupo overly determined kuishinda Urusi kwa kupitia vita ya Ukraine hata akiitumbukiza Dunia kwenye WW3 yeye hilo hajali - He still thinks he and his family and close friends can easily survive thermonuclear exchange and live to tell the tale the morning after. Personally don't see his term in office ending without WW3, this man is very dangerous for World peace, as I said is not bothered by waging WW3 as long as his rabid hatred of Putin and everything Russians are fulfilled.

hehehe sheikh liinsha lote hili, aisei huwa unateseka, nilijaza server humu kila siku nikileta taarifa za namna huo msafara uliliwa na wabeba javelin, Mrusi aliingia cha kike, poleni lakini.
 
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine isijiunge NATO.

Japo imehelewa kwenye hilo, hamna namna Ukraine watajiunga tu.....

A top Kremlin official on Saturday suggested Russia could agree to an end to the war in Ukraine if a key condition is met.

During a press conference at the United Nations General Assembly, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov indicated Russia would recognize Ukraine's borders prior to Moscow's invasion if Kyiv pledges to not join a military alliance.

Since Russian President Vladimir Putin began the war on February 24, 2022, he and Kremlin officials have cited various justifications for the conflict. But one of the most frequently stated reasons is Putin's opposition to the expansion of NATO on his country's borders, and he is said to be especially against Ukraine becoming a member of the military bloc.
NATO wanajambo lao
 
Endeleeni kujifariji humu..Ukraine vijana wanakufa..Russia hawatembei na mihemuko...West wameishaanza kuchoka...
Russia wanafukuza mwizi kimya kimya..counter- offensive imefail...hata ukiingia MSMs habari za Ukraine mvuto zimepunguza...
Ukraine alipaswa kuwa na busara kama Armenia tu...kaona isiwe tabu..Nogorkaraba inaenda kwa Azerbaijan....akili mara nyingi ina busara kuliko hisia..
Armenian naye alikuwa mpuuzi kama wa Russia.
 
Endeleeni kujifariji humu..Ukraine vijana wanakufa..Russia hawatembei na mihemuko...West wameishaanza kuchoka...
Russia wanafukuza mwizi kimya kimya..counter- offensive imefail...hata ukiingia MSMs habari za Ukraine mvuto zimepunguza...
Ukraine alipaswa kuwa na busara kama Armenia tu...kaona isiwe tabu..Nogorkaraba inaenda kwa Azerbaijan....akili mara nyingi ina busara kuliko hisia..
saa 72 hadi miaka 2 , mmebunu mbunu ya kukimbiza mwiz kimya kimya badala ya pupa kushindwa kufikia malengo
 
Kwa ajili ya maisha ya watu, ningelikuwa Ukraine ningelikubali sharti hilo nikaiachia future to determine the fate of UKRAINE need to join NATO au ningeliweka sharti vile vile kuwa Urusi mnayo itoe KIAPO kuwa haitaivamia/kuingia vita ya aina yoyote na UKRAINE au haitaingilia mzozo wowote ambao UKRAINE itakuwa nao na majirani yake au na dunia kwa ujumla.
unahis Urusi hajawai kura kiapo ? makubaliano ya kurudisha umiliki wa nyuklia kwa Urusi , moja kati ya masharti ni US na URUSI kuwa walinzi wa Ukraine , dhidi ya uvamiz wowote , ila Urusi anavunja makubaliano
 
Kama anarudisha maeneo Urusi aheshimiwe hitaji lake. Wale ni ndugu na majirani wasikilizane sababu raia wao wanataka amani na raha hata wanaume wavizie binti wa kirusi na vice versa.
kasome historia , Urusi amekuwa anawaua waukraine kwa miaka na miaka
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Alafu urusi tayari ameshashinda kwanza muunganiko wa NATO na ulaya wameshafeli kumtoa Ukraine na Ukraine akaendelea kuishiwa askari.nasikia NATO wanataka waingie wenyewe wasmi sasa.
unasikia ww ila Urusi hajasikia ? ww ni punguani , ushabiki mwing akili kdg
 
Endeleeni kujifariji humu..Ukraine vijana wanakufa..Russia hawatembei na mihemuko...West wameishaanza kuchoka...
Russia wanafukuza mwizi kimya kimya..counter- offensive imefail...hata ukiingia MSMs habari za Ukraine mvuto zimepunguza...
Ukraine alipaswa kuwa na busara kama Armenia tu...kaona isiwe tabu..Nogorkaraba inaenda kwa Azerbaijan....akili mara nyingi ina busara kuliko hisia..
Maumivu makubwa anayopata urusi hakuna anayeyasema kwa kuwa urusi na sawa na rawanda kwenye media censorship - musifikiri ni shwali ki hivyo

saa 72 hadi miaka 2 , mmebunu mbunu ya kukimbiza mwiz kimya kimya badala ya pupa kushindwa kufikia malengo
Hizo saa 72 labda kama ulizitaja wewe...ni wapi Urusi walisema watatumia 72 hrs?.Wewe mtu vita si ushabiki wa instagram, vita sio ushabiki wetu wa Simba na Yanga....Vita sio show off kama za wasanii...
Watu wamekufa kule, both Russians na Ukrainians...miundo mbinu imebomolewa etc..Vita ziishe kwa mazungumzo ama mshindi apatikane...
Kabla ya vita kuanza tayari makubaliano yaliishafanyika Minsk Agreements.(1&2).
West wamemshawishi Ukraine avunje na matokeo yake damu inamwagika...
Sasa sisi ngoja tuangalie mtanange unavyoenda huu....All in all Zelensky alipaswa kutumia akili na utulivu sio hisia..
Kuna nchi ambazo huwezi ukapigana nazo, ukakataa kutumia akili ukang'ang'ania nguvu ukatoka salama..collateral damage haipimiki...(USA, RUSSIA, FRANCE, UK etc.).
 
Kwa ajili ya maisha ya watu, ningelikuwa Ukraine ningelikubali sharti hilo nikaiachia future to determine the fate of UKRAINE need to join NATO au ningeliweka sharti vile vile kuwa Urusi mnayo itoe KIAPO kuwa haitaivamia/kuingia vita ya aina yoyote na UKRAINE au haitaingilia mzozo wowote ambao UKRAINE itakuwa nao na majirani yake au na dunia kwa ujumla.
putin haaminiki bro! Ref!; yaliyomkuta Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine isijiunge NATO.

Japo imehelewa kwenye hilo, hamna namna Ukraine watajiunga tu.....

A top Kremlin official on Saturday suggested Russia could agree to an end to the war in Ukraine if a key condition is met.

During a press conference at the United Nations General Assembly, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov indicated Russia would recognize Ukraine's borders prior to Moscow's invasion if Kyiv pledges to not join a military alliance.

Since Russian President Vladimir Putin began the war on February 24, 2022, he and Kremlin officials have cited various justifications for the conflict. But one of the most frequently stated reasons is Putin's opposition to the expansion of NATO on his country's borders, and he is said to be especially against Ukraine becoming a member of the military bloc.
Ilimradi Ukraine isijiunge na NATO🤣🤣🤣 (huko ndo kulegeza masharti!?)
Kwani kilicholeta mgogoro hasa ni kipi Kwa unavyojua wewe?

MAGUFULI4LIFE.
 
U West huu utafanya akili zenu zisifanye kazi,by the way Russia ana bado ana occupy 27% ya enjoy lote la Ukraine.Kati ya majimbo 5 hakuna hata mmoja liliorudishwa na Ukraine & allaies.
 
Kwa ajili ya maisha ya watu, ningelikuwa Ukraine ningelikubali sharti hilo nikaiachia future to determine the fate of UKRAINE need to join NATO au ningeliweka sharti vile vile kuwa Urusi mnayo itoe KIAPO kuwa haitaivamia/kuingia vita ya aina yoyote na UKRAINE au haitaingilia mzozo wowote ambao UKRAINE itakuwa nao na majirani yake au na dunia kwa ujumla.
Wewe unafikiri mwenye nguvu akitoa ahadi inamfunga kama akiamua kutekeleza lake?- Urusi si imewahi kusaini mkataba na Ukraine ili Ukraine igive up stockpile yake ya silaha za nuclear in exchange Urusi itatambua mipaka ya Ukraine including crimea?. Miaka 25 baadae Urusi si ikavamia na kumega crimea?
 
Back
Top Bottom