Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

Ni ngumu kuamini taifa linalosemekana lina nguvu, watu wenye akili n.k kushikwa akili na mtu mmoja (Putin).
 
Sema hivi watoe ahadi ya kutokujiunga NATO na majimbo yaliyomegwa ndio basi tena warusi wayachukue tu

Elewa kingereza ustadhi, Urusi imeahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine endapo wataahidi kutojiunga NATO, ina maana wataondoka kote.
 

hehehe sheikh liinsha lote hili, aisei huwa unateseka, nilijaza server humu kila siku nikileta taarifa za namna huo msafara uliliwa na wabeba javelin, Mrusi aliingia cha kike, poleni lakini.
 
NATO wanajambo lao
 
Armenian naye alikuwa mpuuzi kama wa Russia.
 
saa 72 hadi miaka 2 , mmebunu mbunu ya kukimbiza mwiz kimya kimya badala ya pupa kushindwa kufikia malengo
 
unahis Urusi hajawai kura kiapo ? makubaliano ya kurudisha umiliki wa nyuklia kwa Urusi , moja kati ya masharti ni US na URUSI kuwa walinzi wa Ukraine , dhidi ya uvamiz wowote , ila Urusi anavunja makubaliano
 
Kama anarudisha maeneo Urusi aheshimiwe hitaji lake. Wale ni ndugu na majirani wasikilizane sababu raia wao wanataka amani na raha hata wanaume wavizie binti wa kirusi na vice versa.
kasome historia , Urusi amekuwa anawaua waukraine kwa miaka na miaka
 
Reactions: Tsh
Alafu urusi tayari ameshashinda kwanza muunganiko wa NATO na ulaya wameshafeli kumtoa Ukraine na Ukraine akaendelea kuishiwa askari.nasikia NATO wanataka waingie wenyewe wasmi sasa.
unasikia ww ila Urusi hajasikia ? ww ni punguani , ushabiki mwing akili kdg
 
Maumivu makubwa anayopata urusi hakuna anayeyasema kwa kuwa urusi na sawa na rawanda kwenye media censorship - musifikiri ni shwali ki hivyo

 
saa 72 hadi miaka 2 , mmebunu mbunu ya kukimbiza mwiz kimya kimya badala ya pupa kushindwa kufikia malengo
Hizo saa 72 labda kama ulizitaja wewe...ni wapi Urusi walisema watatumia 72 hrs?.Wewe mtu vita si ushabiki wa instagram, vita sio ushabiki wetu wa Simba na Yanga....Vita sio show off kama za wasanii...
Watu wamekufa kule, both Russians na Ukrainians...miundo mbinu imebomolewa etc..Vita ziishe kwa mazungumzo ama mshindi apatikane...
Kabla ya vita kuanza tayari makubaliano yaliishafanyika Minsk Agreements.(1&2).
West wamemshawishi Ukraine avunje na matokeo yake damu inamwagika...
Sasa sisi ngoja tuangalie mtanange unavyoenda huu....All in all Zelensky alipaswa kutumia akili na utulivu sio hisia..
Kuna nchi ambazo huwezi ukapigana nazo, ukakataa kutumia akili ukang'ang'ania nguvu ukatoka salama..collateral damage haipimiki...(USA, RUSSIA, FRANCE, UK etc.).
 
putin haaminiki bro! Ref!; yaliyomkuta Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Ilimradi Ukraine isijiunge na NATO🤣🤣🤣 (huko ndo kulegeza masharti!?)
Kwani kilicholeta mgogoro hasa ni kipi Kwa unavyojua wewe?


MAGUFULI4LIFE.
 
U West huu utafanya akili zenu zisifanye kazi,by the way Russia ana bado ana occupy 27% ya enjoy lote la Ukraine.Kati ya majimbo 5 hakuna hata mmoja liliorudishwa na Ukraine & allaies.
 
Wewe unafikiri mwenye nguvu akitoa ahadi inamfunga kama akiamua kutekeleza lake?- Urusi si imewahi kusaini mkataba na Ukraine ili Ukraine igive up stockpile yake ya silaha za nuclear in exchange Urusi itatambua mipaka ya Ukraine including crimea?. Miaka 25 baadae Urusi si ikavamia na kumega crimea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…