Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

USA na watu wake toka mwaka 1776 walipopata uhuru, ni miaka 14 pekee hawajawa vitani.

Kwa hiyo kusema eti raia wanaogopa vita haiwezekani hususani ukizingatia mfumo wa Taifa na sera za USA zimejengwa kwenye misingi ya umwagaji damu
USA raia ananunua silaha atakavyo, kule ni pamoto.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Sasa Cuba naye ana nini kwa sasa?.

Wananchi wake wanaishi kwa dhiki mno kisa kukumbatia maslahi ya viongozi wao badala ya Nchi.

Mifumo yote ya kibenki na fedha kwa ujumla imekufa na watu fedha zao zimebebwa, hatukusikia Russia wala China wakipeleka misaada ya hali na mali ikiwemo teknolojia ya kisasa.

Badala yake tunaona akitengenezewa mazingira ya kutaka Taifa lake ligeuke shimo la tewa kwa kutumika kama sehemu ya mauaji ya halaiki.

Cuba kwa sasa haina maisha, ni nchi ya ulimwengu wa tatu, vikwazo alivyowekewa na USA vimewafanya wananchi kuishi kama "mashetani" na ningewaona watu wa maana kama wangetafuta kutatua shida zao kuliko kutaka shali kwa Taifa ambalo hata jimbo lake moja tu linatosha kuwafuta.

Kwani huyo Mmarekani amepeleka kitu gani Ukraina zaidi ya weapons na madeni ??

View: https://www.youtube.com/watch?v=mzkhqzllee0
 
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani. Ikumbukwe CUBA Hadi US mailand ni kilometers 400 tu.. [emoji3544][emoji599]#BREAKING : Cuba confirms the arrival of three Russian ships and a nuclear submarine in a week.
Nyie wapumbavu sana,sasa mnadhani Cuba itabakia salama? Na nini kitamtokea Putin?
 
Sas
Sasa we unafikiri lengo ni Cuba kupigana na Marekani kilochufuatwa hapo ni eneo sahihi la kuichoma miji ya Marekani hasa Washington, New York na miji mingine mikubwa inayotakiwa kupigwa NUKE
Wewe juha kweli, unadhani Washington ni Nairobi au Dar kiasi kwamba itapigwa kifala tu? Putin atakufa kifo cha aibu sana,Dunia haiko Tayari kumshuhudia Hitler mwingine
 
Critically, Hata Urusi amechoka na hivi vita dhidi ya Ukraine, japo msimamo wake wa kupambana uko palepale.
Ukiziangalia sera za bwana Trump, utagundua kuwa Urusi atapata ushindi wa mezani ndani ya masaa 24 kama alivyoahidi, Yale majimbo kama ya Luhansk na Donetsk huenda yakasalia Urusi kwa kipindi kirefu sana kitu ambacho ni faida ya vita walivyopigana, huku wakitumia muda mfupi zaidi katika kufanya operation hii ya kivita.
Nafikiri huu ni mkakati maalumu wa kuishinikiza Marekani hasa kwa wapiga Kura kumpa uwanja mpana bwana Trump.
 
Trump atafungwa jela mwezi ujao kwahiyo hatakua rais wa marekani.
 
  1. Hakuna nchi yenye ujinga wa kuipa nchi yoyote ya South America Nuclear warheads......Most ni Maskini zimejaa madawa ya Kulevya tu.
  2. Chile,Guyana and Argentina ni American friends....West Indies countries zinaitegemea America for survival.
  3. Umesema North Korea and Far East ,nchi ipi ya far East ni adui wa US......mana ni kuna Japan,Taiwan,South Korea....au ni kuongeza chumvi....?
Nimepitia point moja baada ya nyingine ulizoandika hapo juu zote ni invalid umeandika bila kuwa na vivid evidence ku support hoja yako.
 
Back
Top Bottom