TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Wamejua chanzo cha tatizo ni nini! Hawaangaiki Tena kushughulika na Matawi, wanakwenda kung'oa shina na mizizi ya chanzo cha tatizo. Upo?...kama wangetafuta kutatua shida zao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejua chanzo cha tatizo ni nini! Hawaangaiki Tena kushughulika na Matawi, wanakwenda kung'oa shina na mizizi ya chanzo cha tatizo. Upo?...kama wangetafuta kutatua shida zao...
Hakuna nchi inaweza mng'oa USA kwa sasa, labda vizazi vijavyoWamejua chanzo cha tatizo ni nini! Hawaangaiki Tena kushughulika na Matawi, wanakwenda kung'oa shina na mizizi ya chanzo cha tatizo. Upo?
Kweli kabisaurusi ana haki ya kujilinda na maadui,mazafaka USA akae mbali
Huo ni mtazamo wako tu, kuna maovu mengi sana hapa Duniani kuzidi hata hao LGBTQ.Hii vita ni Rohoni, sababu kubwa ni mambo ya LGBTQ, Mungu hawezi vumilia ujinga wao. Wakicheza watapigwa kweli. Africa ndio risasi ya mwisho
Nchi hizi kubwa sio kama Tanzania kwamba kila Rais anakuja na maono yake.hizi nchi zinamaono mpaka ya miaka 100 huko.Siku Putin akifa nini kitatokea?Vita hii inaendelea?Nani atachukua madaraka?
Sio rahisi ila ....Kwa mtazamo wa kiuchambuzi haya maandalizi ya Vita ya dunia ambayo kama marekani atalazimisha itokee basi safari hii tutashuhudia mabomu yakidondoka katika ardhi ya marekani.
USA na watu wake toka mwaka 1776 walipopata uhuru, ni miaka 14 pekee hawajawa vitani.
Kwa hiyo kusema eti raia wanaogopa vita haiwezekani hususani ukizingatia mfumo wa Taifa na sera za USA zimejengwa kwenye misingi ya umwagaji daVita Wamarekani wanaitazama ktk Mitandao au tv ila hawajaona mabomu yakilindima ktk mitaa Yao.
Umenikumbusha ile ziara ya Nancy Pelos huko ROC (Taiwan). China alibaki kupiga maji na samaki mabomu Kwa siku tatu, nothing more.Ukweli unabakia palepale, wote wanafanya mikwara tu lakini hakuna atakayerusha jiwe kwa mwenzake.
Ukimgusa mkubwa mwenzio umenunua matatizo, ndiyo maana nimekuambia hakuna vita hapo.
Russia ameenda kutalii tu huko, hawezi rusha hata unyoya kwenye ardhi ya USA maana atapelekea giza nene kutanda pande zote.
Katika kitu Marekani hesabu hakuzichanga vizuri ni lile tukio.Macho madogo wanacheza na Marekani Kwa akili sana kwenye tech na Uchumi ndio maana Waziri wa mambo ya nje anaenyeka na safari za Beijing.Yaani jamaa akukamate ugoni na mkewe akuambie nenda zako.Mkuu watch out.Umenikumbusha ile ziara ya Nancy Pelos huko ROC (Taiwan). China alibaki kupiga maji na samaki mabomu Kwa siku tatu, nothing more.
Russia kutuma hizo vitu Cuba katika miaka hii si jambo zito kama uliyokuwa back then....Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya kwanza kwa urusi kupeleka meli za kivita kwa kiwango hiki katika nchi ya Cuba. Wakati huo huo rais Putin anasema Urusi itaanza kutoa silaha za maangamizi kwa nchi zote ambazo ni maadui wa marekani hasa nchi za America ya kusini, North Africa , Iran na Far east.
Kwa mtazamo wa kiuchambuzi haya maandalizi ya Vita ya dunia ambayo kama marekani atalazimisha itokee basi safari hii tutashuhudia mabomu yakidondoka katika ardhi ya marekani.
Alisikika mshindia mihogo mmojaSasa Cuba naye ana nini kwa sasa?.
Wananchi wake wanaishi kwa dhiki mno kisa kukumbatia maslahi ya viongozi wao badala ya Nchi.
Mifumo yote ya kibenki na fedha kwa ujumla imekufa na watu fedha zao zimebebwa, hatukusikia Russia wala China wakipeleka misaada ya hali na mali ikiwemo teknolojia ya kisasa.
Badala yake tunaona akitengenezewa mazingira ya kutaka Taifa lake ligeuke shimo la tewa kwa kutumika kama sehemu ya mauaji ya halaiki.
Cuba kwa sasa haina maisha, ni nchi ya ulimwengu wa tatu, vikwazo alivyowekewa na USA vimewafanya wananchi kuishi kama "mashetani" na ningewaona watu wa maana kama wangetafuta kutatua shida zao kuliko kutaka shali kwa Taifa ambalo hata jimbo lake moja tu linatosha kuwafuta.
Sio jambo jepesi USA kukuondolea vikwazo ata ukimlamba viatu Wacha Cuba waendelee kupambanaSasa Cuba naye ana nini kwa sasa?.
Wananchi wake wanaishi kwa dhiki mno kisa kukumbatia maslahi ya viongozi wao badala ya Nchi.
Mifumo yote ya kibenki na fedha kwa ujumla imekufa na watu fedha zao zimebebwa, hatukusikia Russia wala China wakipeleka misaada ya hali na mali ikiwemo teknolojia ya kisasa.
Badala yake tunaona akitengenezewa mazingira ya kutaka Taifa lake ligeuke shimo la tewa kwa kutumika kama sehemu ya mauaji ya halaiki.
Cuba kwa sasa haina maisha, ni nchi ya ulimwengu wa tatu, vikwazo alivyowekewa na USA vimewafanya wananchi kuishi kama "mashetani" na ningewaona watu wa maana kama wangetafuta kutatua shida zao kuliko kutaka shali kwa Taifa ambalo hata jimbo lake moja tu linatosha kuwafuta.
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya kwanza kwa urusi kupeleka meli za kivita kwa kiwango hiki katika nchi ya Cuba. Wakati huo huo rais Putin anasema Urusi itaanza kutoa silaha za maangamizi kwa nchi zote ambazo ni maadui wa marekani hasa nchi za America ya kusini, North Africa , Iran na Far east.
Kwa mtazamo wa kiuchambuzi haya maandalizi ya Vita ya dunia ambayo kama marekani atalazimisha itokee basi safari hii tutashuhudia mabomu yakidondoka katika ardhi ya marekani.
Putin mjinga mzee wa mikwara Hana jipya Ukraine kamtoa maviUnatamani sana Mrusi adondoshe bomu Washngton. Too bad, Mrusi ana akili timamu.
Urusi ni taifa duni na la wajinga ulishaona mtu anazamia urusi!?Ni wazi USA alimkadiria kidogo sana Mrussi.Russia ni dubwana kubwa sana.