green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Sas
Sasa we unafikiri lengo ni Cuba kupigana na Marekani kilochufuatwa hapo ni eneo sahihi la kuichoma miji ya Marekani hasa Washington, New York na miji mingine mikubwa inayotakiwa kupigwa NUKESasa Cuba naye ana nini kwa sasa?.
Wananchi wake wanaishi kwa dhiki mno kisa kukumbatia maslahi ya viongozi wao badala ya Nchi.
Mifumo yote ya kibenki na fedha kwa ujumla imekufa na watu fedha zao zimebebwa, hatukusikia Russia wala China wakipeleka misaada ya hali na mali ikiwemo teknolojia ya kisasa.
Badala yake tunaona akitengenezewa mazingira ya kutaka Taifa lake ligeuke shimo la tewa kwa kutumika kama sehemu ya mauaji ya halaiki.
Cuba kwa sasa haina maisha, ni nchi ya ulimwengu wa tatu, vikwazo alivyowekewa na USA vimewafanya wananchi kuishi kama "mashetani" na ningewaona watu wa maana kama wangetafuta kutatua shida zao kuliko kutaka shali kwa Taifa ambalo hata jimbo lake moja tu linatosha kuwafuta.