Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

USA na watu wake toka mwaka 1776 walipopata uhuru, ni miaka 14 pekee hawajawa vitani.

Kwa hiyo kusema eti raia wanaogopa vita haiwezekani hususani ukizingatia mfumo wa Taifa na sera za USA zimejengwa kwenye misingi ya umwagaji damu
USA raia ananunua silaha atakavyo, kule ni pamoto.
 
Reactions: K11

Kwani huyo Mmarekani amepeleka kitu gani Ukraina zaidi ya weapons na madeni ??



View: https://www.youtube.com/watch?v=mzkhqzllee0
 
Utakua umesahau au ni mtoto mdogo. Kiranja wa dunia alikua mrumi , akaja mwingereza akaitawala dunia lakini leo hayupo. Times count my friend
Acha upumbavu boya wewe, Taifa kubwa ni nani hapa Duniani Kama siyo Marekani?
Chuki zako utakufa nazo
 
Nyie wapumbavu sana,sasa mnadhani Cuba itabakia salama? Na nini kitamtokea Putin?
 
Sas
Sasa we unafikiri lengo ni Cuba kupigana na Marekani kilochufuatwa hapo ni eneo sahihi la kuichoma miji ya Marekani hasa Washington, New York na miji mingine mikubwa inayotakiwa kupigwa NUKE
Wewe juha kweli, unadhani Washington ni Nairobi au Dar kiasi kwamba itapigwa kifala tu? Putin atakufa kifo cha aibu sana,Dunia haiko Tayari kumshuhudia Hitler mwingine
 
Critically, Hata Urusi amechoka na hivi vita dhidi ya Ukraine, japo msimamo wake wa kupambana uko palepale.
Ukiziangalia sera za bwana Trump, utagundua kuwa Urusi atapata ushindi wa mezani ndani ya masaa 24 kama alivyoahidi, Yale majimbo kama ya Luhansk na Donetsk huenda yakasalia Urusi kwa kipindi kirefu sana kitu ambacho ni faida ya vita walivyopigana, huku wakitumia muda mfupi zaidi katika kufanya operation hii ya kivita.
Nafikiri huu ni mkakati maalumu wa kuishinikiza Marekani hasa kwa wapiga Kura kumpa uwanja mpana bwana Trump.
 
Trump atafungwa jela mwezi ujao kwahiyo hatakua rais wa marekani.
 
Nimepitia point moja baada ya nyingine ulizoandika hapo juu zote ni invalid umeandika bila kuwa na vivid evidence ku support hoja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…