100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Sasa anaimezaje Ukraine pasipo silaha, Russia hadi hivi sasa anasafisha ghala la silaha za soviet era.kwan lengo la Urusi ni kuwa na silaha au kuimeza Ukraine ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa anaimezaje Ukraine pasipo silaha, Russia hadi hivi sasa anasafisha ghala la silaha za soviet era.kwan lengo la Urusi ni kuwa na silaha au kuimeza Ukraine ?
Mkuu wakati mwingine ukikaa kimya unapata credit.Hitler aliiteka karibu nusu ya Ulaya ila alishindwa , Marekan kafanikiwa kuishawish Ulaya kumkabiri Putin , bado huon hili ni pigo kwa Urusi ? kama Ukraine imemsumbua je Ulaya wakiingia itakuwaj ?
Mtu mweusi huchambua mambo kimahaba sana , kama Putin angekuwa na nguvu angesema ataikabiri ulaya na Marekan directly na sio kupeleka meli tu , maana Macron ashasema atatangaza kuwa Ulaya ipo vitani na Urusi
Ulaya nayo sasa baada ya misukosuko kutokea Ukraine imekuwa kama bara Arabu hawana umoja tena kama ule wa zamani.Hitler aliiteka karibu nusu ya Ulaya ila alishindwa , Marekan kafanikiwa kuishawish Ulaya kumkabiri Putin , bado huon hili ni pigo kwa Urusi ? kama Ukraine imemsumbua je Ulaya wakiingia itakuwaj ?
Mtu mweusi huchambua mambo kimahaba sana , kama Putin angekuwa na nguvu angesema ataikabiri ulaya na Marekan directly na sio kupeleka meli tu , maana Macron ashasema atatangaza kuwa Ulaya ipo vitani na Urusi
Mrusi katika hivi vita kapigana kwa kutumia akili sana na nguvu inapohitajika.Mkuu wakati mwingine ukikaa kimya unapata credit.
Ukraine inasaidiwa hii vita na nchi ngapi? Wamepeleka vifaru vyote ambavyo wanasema ndio main battle tanks vyote vimelipuliwa.
Wametuma kila aina ya drones za kisasa zilizopo NATO hakuna kitu. Hivi unajua Ukraine imepotrza eneo lenye ukubwa sawa na UK? Unajua taifa lilikua na watu 38m + na sasa wapo chini ya 25m. Hivi unafahamu the best agricultural land and industrial areas zipo chini ya Urusi?
Kila siku anaambiwa kaa chini tuongee hataki anasema atashinda vita. Unafahamu 28% ya deni la Ukraine lipo kwa makampuni 2? N.k
Pia fikiria Urusi ina vikwazo 17,000+ hakuna nchi duniani iliwahi kuwekewa vikwazo hivyo na bado nchi inauchumi imara kuliko walioweka vikwazo.
Mwisho hakuna nchi hata moja Ulaya inayoweza kupigana na Urusi aidha yenyewe au collective west haipo. Hata USA peke yake hawezi kupigana na Urusi.
Kasome nuclear doctrines za mataifa wenye nazo. Pia ukiza tacticle nuclear missiles za nchi za NATO na Urusi na madhara yatokanayo kisha ujiulize nani anaweza kupigana na URUSI
Akitangaza huyo makaron uje utustue tumekaa paleHitler aliiteka karibu nusu ya Ulaya ila alishindwa , Marekan kafanikiwa kuishawish Ulaya kumkabiri Putin , bado huon hili ni pigo kwa Urusi ? kama Ukraine imemsumbua je Ulaya wakiingia itakuwaj ?
Mtu mweusi huchambua mambo kimahaba sana , kama Putin angekuwa na nguvu angesema ataikabiri ulaya na Marekan directly na sio kupeleka meli tu , maana Macron ashasema atatangaza kuwa Ulaya ipo vitani na Urusi
Unaongea ukiwa na akili timamu ama sio wewe?Ni mjinga pekee ambayo anaweza kuamini Russia inaweza kupandana na USA,Achilia mbali mataifa mengine ya NATO.
Mtu agundue nuclear miaka hiyo ya 40s uje umtishie na hizo hizo nuclear seriously!!
Russia atakutana na kitu ambacho atakikumbuka miaka trillion 1 mbele.
Duuuh!Press ya jana ya Putin ilikuwa ya kimkakati sana.
NATO wana homework, kazi imeanza.
Kisayansi mrusi yupo miaka mitano mbele ya mmarekaniNi mjinga pekee ambayo anaweza kuamini Russia inaweza kupandana na USA,Achilia mbali mataifa mengine ya NATO.
Mtu agundue nuclear miaka hiyo ya 40s uje umtishie na hizo hizo nuclear seriously!!
Russia atakutana na kitu ambacho atakikumbuka miaka trillion 1 mbele.
UpindeNi mjinga pekee ambayo anaweza kuamini Russia inaweza kupandana na USA,Achilia mbali mataifa mengine ya NATO.
Mtu agundue nuclear miaka hiyo ya 40s uje umtishie na hizo hizo nuclear seriously!!
Russia atakutana na kitu ambacho atakikumbuka miaka trillion 1 mbele.
Ni mjinga pekee ambayo anaweza kuamini Russia inaweza kupandana na USA,Achilia mbali mataifa mengine ya NATO.
Mtu agundue nuclear miaka hiyo ya 40s uje umtishie na hizo hizo nuclear seriously!!
Russia atakutana na kitu ambacho atakikumbuka miaka trillion 1 mbele.Una e
Unaakili kwel??Upinde
Achana nae huyoMkuu wakati mwingine ukikaa kimya unapata credit.
Ukraine inasaidiwa hii vita na nchi ngapi? Wamepeleka vifaru vyote ambavyo wanasema ndio main battle tanks vyote vimelipuliwa.
Wametuma kila aina ya drones za kisasa zilizopo NATO hakuna kitu. Hivi unajua Ukraine imepotrza eneo lenye ukubwa sawa na UK? Unajua taifa lilikua na watu 38m + na sasa wapo chini ya 25m. Hivi unafahamu the best agricultural land and industrial areas zipo chini ya Urusi?
Kila siku anaambiwa kaa chini tuongee hataki anasema atashinda vita. Unafahamu 28% ya deni la Ukraine lipo kwa makampuni 2? N.k
Pia fikiria Urusi ina vikwazo 17,000+ hakuna nchi duniani iliwahi kuwekewa vikwazo hivyo na bado nchi inauchumi imara kuliko walioweka vikwazo.
Mwisho hakuna nchi hata moja Ulaya inayoweza kupigana na Urusi aidha yenyewe au collective west haipo. Hata USA peke yake hawezi kupigana na Urusi.
Kasome nuclear doctrines za mataifa wenye nazo. Pia ukiza tacticle nuclear missiles za nchi za NATO na Urusi na madhara yatokanayo kisha ujiulize nani anaweza kupigana na URUSI
Izo bangi anazozisema Putin. Anazo taarifa kamili kuwa G7 wote wanazo hayo manyuklia kama yeye. Kwa iyo akirusha moja anajibiwa na G7 wote atakuwa amekwisha vibaya na uzuri wa G7 uwezi kukuta wanajisifia Sofia upuuzi wa hayo manyukliaJana Putin kawajibu Marekani na wasirika wake.
Kwamba Ukraine haina uwezo na nyenzo za kupigwa makonbora ya masafa marefu bila support ya USA na Allies. Ukraine atakuwa anavuta TU kitufe lakini vingine lazima vifanywe na mataifa makubwa US, UK France n.k. Hii maana yake na wao wameingia vitani rasmi.
Majibu yake ni kwamba Urusi itazipa nchi maadui wa US, UK n.k ambazo zinaweza kuzipiga kupigwa makonbora kwenye maeneo strategic ya NATO.
Pili wataimarisha ulinzi wa Anga kuhakikisha yanaharibiwa makonbora hayo.
Tatu amesema wao matumizi ya nyuklia ni kulinda mipaka yake, uhuru wake na usalama wake hivyo pale usalama wa nchi utakuwa hatarini haitasita kuitumia kama ilivyoandikwa Nuclear doctrine. Na kakumbushia maboom ya nuclear yaliyopigwa japani yalikuwa ni 20kilotan na mdhara yake yalionekana. Tactical nuclear za Urusi ni 70kilotani hivyo madhara yake ni 4times ya Hiroshima na Nagasaki. Hivyo Kila step ya NATO itajibiwaipaswavyo.
Alisema anatangaza tarehe 06.06.2024Akitangaza huyo makaron uje utustue tumekaa pale
umemsoma mtaalam Sun Tzu 😀Victorious warriors win first and then go to war, while defeated warriors go to war first and then seek to win. ~Sun Tzu
Mkakati wa sasa wa mataifa haya hasimu ni kuchokozana katika vita baridi vya maneno kwa lengo la kuusoma mwelekeo wa mchezo utakuwaje wakati wa mtikasi halisi.Alisema anatangaza tarehe 06.06.2024
Mpaka wakina shekhe Hahaha wakasema ni 666
Devil 😈 namba
Izo bangi anazozisema Putin. Anazo taarifa kamili kuwa G7 wote wanazo hayo manyuklia kama yeye. Kwa iyo akirusha moja anajibiwa na G7 wote atakuwa amekwisha vibaya na uzuri wa G7 uwezi kukuta wanajisifia Sofia upuuzi wa ha
Urusi hana Nuclear? unajua lolow kuhusu Tsa Bomb?Ni mjinga pekee ambayo anaweza kuamini Russia inaweza kupandana na USA,Achilia mbali mataifa mengine ya NATO.
Mtu agundue nuclear miaka hiyo ya 40s uje umtishie na hizo hizo nuclear seriously!!
Russia atakutana na kitu ambacho atakikumbuka miaka trillion 1 mbele.
Nani kasema hana nuclear? Hujui kusoma au?Urusi hana Nuclear? unajua lolow kuhusu Tsa Bomb?
Acha uongoMkuu wakati mwingine ukikaa kimya unapata credit.