Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hana jipya huyu, masikini jeuri tuGo Russia , for Global Balance of power
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana jipya huyu, masikini jeuri tuGo Russia , for Global Balance of power
Kwenye hii vita, mrusi anataka kuzichukua ardhi ya Ukraine, ilhali Ukraine anajitetea asipokwe ardhi yake yote. Dhamira kuu ya Russia, ni kuichapa Ukraine ili kutoa funzo kwa wengine, na kumzuia mmarekan asifungue kambi Ukraine au taifa lolote la karibu. Dhamira ya nato mbele ya Ukraine ni kumsaidia Ukraine ampige Russia. Ila Dhamira ya nato kiuhalisia, anataka kumdhoofisha Russia.Hitler aliiteka karibu nusu ya Ulaya ila alishindwa , Marekan kafanikiwa kuishawish Ulaya kumkabiri Putin , bado huon hili ni pigo kwa Urusi ? kama Ukraine imemsumbua je Ulaya wakiingia itakuwaj ?
Mtu mweusi huchambua mambo kimahaba sana , kama Putin angekuwa na nguvu angesema ataikabiri ulaya na Marekan directly na sio kupeleka meli tu , maana Macron ashasema atatangaza kuwa Ulaya ipo vitani na Urusi
ona akili za kikobazi uchumi gani russia inao kuzidi walioweka vikwazo?Mkuu wakati mwingine ukikaa kimya unapata credit.
Ukraine inasaidiwa hii vita na nchi ngapi? Wamepeleka vifaru vyote ambavyo wanasema ndio main battle tanks vyote vimelipuliwa.
Wametuma kila aina ya drones za kisasa zilizopo NATO hakuna kitu. Hivi unajua Ukraine imepotrza eneo lenye ukubwa sawa na UK? Unajua taifa lilikua na watu 38m + na sasa wapo chini ya 25m. Hivi unafahamu the best agricultural land and industrial areas zipo chini ya Urusi?
Kila siku anaambiwa kaa chini tuongee hataki anasema atashinda vita. Unafahamu 28% ya deni la Ukraine lipo kwa makampuni 2? N.k
Pia fikiria Urusi ina vikwazo 17,000+ hakuna nchi duniani iliwahi kuwekewa vikwazo hivyo na bado nchi inauchumi imara kuliko walioweka vikwazo.
Mwisho hakuna nchi hata moja Ulaya inayoweza kupigana na Urusi aidha yenyewe au collective west haipo. Hata USA peke yake hawezi kupigana na Urusi.
Kasome nuclear doctrines za mataifa wenye nazo. Pia ukiza tacticle nuclear missiles za nchi za NATO na Urusi na madhara yatokanayo kisha ujiulize nani anaweza kupigana na URUSI
Siyo Afrika yote kuna wajanja wapi hapo Afrik magharibi wanapambanaNa US inavyoogopa vita karibu na mipaka yake.
Dunia imechangamka kweli kweli! Wajinga wamebaki Afrika
Unabeza kupeleka meli wakati hizo ndio silaha za vita unataka awakabili vipi??? Kwa ngumi???? 😆😆Hitler aliiteka karibu nusu ya Ulaya ila alishindwa , Marekan kafanikiwa kuishawish Ulaya kumkabiri Putin , bado huon hili ni pigo kwa Urusi ? kama Ukraine imemsumbua je Ulaya wakiingia itakuwaj ?
Mtu mweusi huchambua mambo kimahaba sana , kama Putin angekuwa na nguvu angesema ataikabiri ulaya na Marekan directly na sio kupeleka meli tu , maana Macron ashasema atatangaza kuwa Ulaya ipo vitani na Urusi
Nasikia amekuwa wanne (4) kiuchumi Duniani. Amempita hadi Ujerumani.Niliwaambiaga huyo mrusi ni nxt level mkanikalia kooni, ckuwa n helmet nikawakimbia. Aya sasa, mwanaume anaonyesha uanaume wake.
Ningependa kuwakumbusha kwamba huyo mwamba allikuwa akiilisha dunia mafuta n gesi kwa sio chini ya wastani 40% kwa miaka kibaooo. Walipogutuka n kupunguza kumtegemea, mwamba ameshatengeneza akiba isiyofikirika. Ana kila kitu, viwanda vyake vingi vimebadilisha n kugeuzwa kuwa viwanda vya silaha. Yaani, silaha alizonazo sasa ni nyingi kuliko kabla ya ile vita. Maskini Ukraine kakaza, ila anazidi kuzitia umaskini nchi za nato. Juu ya yote, ardhi yake inazidi kumegwa.
Au Mimi ndo sijui kusoma imeporomokaje hapoTabia ya uchokozi ya Marekani kwa nchi kadhaa duniani sasa kunaigharimu nchi hiyo kuporomoka nguvu zake kwa kasi ya ajabu.
Unaota mchana dogo🙄😜Tabia ya uchokozi ya Marekani kwa nchi kadhaa duniani sasa kunaigharimu nchi hiyo kuporomoka nguvu zake kwa kasi ya ajabu.