Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

Aliyeongea ni Ex president wa Urusi ambaye ni shoga na asiye na madaraka yoyote urusi

Kusema eti Urusi imesema sio kweli mleta mada badili heading
 
Aliyeongea ni Ex president wa Urusi ambaye ni shoga na asiye na madaraka yoyote urusi

Kusema eti Urusi imesema sio kweli mleta mada badili heading
Mwanaume kaongea hapo na ndo ilivyo alafu ushoga ni tabia zenu Team NATO siyo urusi.hapo ni mwanaume rijali kaongea hao hawawezi kuongea from nowhere.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mumechanganyikiwa mnasikiliza hadi maraisi wastaafu wa Urusi wasio na role yoyote kwenye siasa

Putin sasa hivi kafyata domo haongei baada ya kuona vita haiishi
 
W
Wakisha hukumiwa mabeberu wote wa America waliotenda war Crime,tutaangalia na Mwamba anayewatwisha beberu vitu vizito kama nae ameingia kwenye mtego wa war CrimeπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸƒπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Sasa mumechanganyikiwa mnasikiliza hadi maraisi wastaafu wa Urusi wasio na role yoyote kwenye siasa

Putin sasa hivi kafyata domo haongei baada ya kuona vita haiishi
Unajua aliyeongea ni Nani?ni Medvedev ambaye ni mwenyekiti wa Russia security council ambaye ambaye kama sikosei ni waziri mkuu wa Russia.acha kujiaibisha.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mumechanganyikiwa mnasikiliza hadi maraisi wastaafu wa Urusi wasio na role yoyote kwenye siasa

Putin sasa hivi kafyata domo haongei baada ya kuona vita haiishi
Rusheni kakombora muone, unajua mchezo wa nyuklia huwa mtamu kimbelembele anaporusha kabom kake kamoja. Kisha unamfungulia turbo yani unarusha mizinga 5OO marekani nzima iwe chapati.

Russia akimfumua US wataingizwa kwenye criminals of war list na kufilisiwa na madeni.Hii huwa anatakiwa mmoja aanze kisha mwanaume amalize kazi.
 
Rusheni kakombora muone, unajua mchezo wa nyuklia huwa mtamu kimbelembele anaporusha kabom kake kamoja. Kisha unamfungulia turbo yani unarusha mizinga 5OO marekani nzima iwe chapati
Hizo nyukilia nani hana?

Mbona mnaimba wimbo wa kitoto utafikiri Urusi tu ndio anazo hizi nyukilia
 
Rusheni basi si anawakera sana urusi. Rusheni muanzishe gem la nyuklia kisha mtaona moto wake
Aanze yeye aone mziki wake
Si anabweka kama mbwa kuwa atatumia nyukilia ambayo hata Rwanda tu.hapo wameanza ku develop
Anamtishia nyau nani?
 
Rusheni basi si anawakera sana urusi. Rusheni muanzishe gem la nyuklia kisha mtaona moto wake. Uzuri alieanza ndo atabeba tag ya criminal of war.
Mtu mkipigana naye
Mpiganaji kweli wala hakutishii ohh nitakupiga ngumi anapiga tu

Russia Bwege tu ana mkwara Mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…