Andrew Tate JF-Expert Member Joined Jun 28, 2020 Posts 4,503 Reaction score 6,861 Jul 8, 2022 #61 leza said: Uko zako buza....unajua mipango mpaka ya wazungu kuwa hawajajiandaa na nyukilia[emoji16][emoji16] Click to expand... Kwani wazungu ni kina nani na unawaonaje?... miungu watu? Wazungu ni mbuzi tu wanafuata nyasi popote zilipo.
leza said: Uko zako buza....unajua mipango mpaka ya wazungu kuwa hawajajiandaa na nyukilia[emoji16][emoji16] Click to expand... Kwani wazungu ni kina nani na unawaonaje?... miungu watu? Wazungu ni mbuzi tu wanafuata nyasi popote zilipo.
Memtata JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 587 Reaction score 1,863 Jul 8, 2022 #62 Sikirimimimasikini said: Alisikika mMarekani mmoja wa Kapalamsenga baada ya kushiba visate na dagaa wa Mwanza... Click to expand... Huu mwandiko wa Lwama kabisa 😃 'visate' 'kapalamsenga' 🤣🤣🤣
Sikirimimimasikini said: Alisikika mMarekani mmoja wa Kapalamsenga baada ya kushiba visate na dagaa wa Mwanza... Click to expand... Huu mwandiko wa Lwama kabisa 😃 'visate' 'kapalamsenga' 🤣🤣🤣
Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Jul 8, 2022 #63 Russia ananipa raha sana putin kula serengeti moja nitalipia
MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,537 Reaction score 8,824 Jul 8, 2022 #64 kj 403 said: Russia nae anaongea ongea sana, Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia. Click to expand... Anaongeaga kwa vitendo, ni ukweli
kj 403 said: Russia nae anaongea ongea sana, Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia. Click to expand... Anaongeaga kwa vitendo, ni ukweli