Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

Uko zako buza....unajua mipango mpaka ya wazungu kuwa hawajajiandaa na nyukilia[emoji16][emoji16]
Kwani wazungu ni kina nani na unawaonaje?... miungu watu?
Wazungu ni mbuzi tu wanafuata nyasi popote zilipo.
 
Russia nae anaongea ongea sana,
Si atulie tu mbona kama hajiamini yeye siraha yake ya kutishia ni nyuklia nyuklia ndio anaimba kila siku, ukute wenzake wamejiandaa jinsi ya kukabiliana na nyuklia.
Anaongeaga kwa vitendo, ni ukweli
 
Back
Top Bottom