Urusi yashambulia kwa aina tofauti ya mizinga kwa mkupuo, yote yapigwa chini

Urusi yashambulia kwa aina tofauti ya mizinga kwa mkupuo, yote yapigwa chini

Uachage kujitoa ufahamu
Haya Nakupa nahii Tena Nzuri zaidi uniambie hapa yanayo shuka ni Mabati yakibera!!
Kwanini Huwa mnajitoa Ufahamu hivyo!!

View attachment 2624238
Hawa jamaa wanajitoa ufahamu!Pamoja na ushahidi wa video lakini wanafumba macho kama hawaoni!
Wamekosa gud news battle field kwa muda mrefu ndio maana kila kahabari ka kuwapa ahueni wanakashabikia sana hata kama ni uongo!
 
Unawaamini hawa?wakati ule walikuambia kuwa urusi kaishiwa makombora na wewe Kwa Sababu hufikirii ukaja huku kutuambia

Kila kombora anatuma linapigwa chini...hadi raha kaishiwa yaani.
 
Kila kombora anatuma linapigwa chini...hadi raha kaishiwa yaani.
Weka evidence Kwa Sababu wenyewe waliotupa hayo makombora wamesema wamefikia malengo yao.na huoni maafisa wa NATO wanavyouawa kwenye mahandaki Yao?wanauawa Kwa nini?
 
[emoji23][emoji1787][emoji38][emoji28]
1684250669815.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom