MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Weka evidence Kwa Sababu wenyewe waliotupa hayo makombora wamesema wamefikia malengo yao.na huoni maafisa wa NATO wanavyouawa kwenye mahandaki Yao?wanauawa Kwa nini?
Wamefikia malengo wakati Bakhmut imeshindikana kuifumua, kwanza wanakimbiana wenyenwe hehehe