Uachage kujitoa ufahamu
Haya Nakupa nahii Tena Nzuri zaidi uniambie hapa yanayo shuka ni Mabati yakibera!!
Kwanini Huwa mnajitoa Ufahamu hivyo!!
View attachment 2624238
Hawa jamaa wanajitoa ufahamu!Pamoja na ushahidi wa video lakini wanafumba macho kama hawaoni!Uachage kujitoa ufahamu
Haya Nakupa nahii Tena Nzuri zaidi uniambie hapa yanayo shuka ni Mabati yakibera!!
Kwanini Huwa mnajitoa Ufahamu hivyo!!
View attachment 2624238
Hawa jamaa wanajitoa ufahamu!Pamoja na ushahidi wa video lakini wanafumba macho kama hawaoni!
Wamekosa gud news battle field kwa muda mrefu ndio maana kila kahabari ka kuwapa ahueni wanakashabikia sana hata kama ni uongo!
Hamna itamuliwa pale marekani akiamua kuruhusu mazungumzo Putin ashasema Hana Nia ya kumuua zelesky na pia hakuna anayeweza kumuua Putin.Hii vita itaamuliwa na ama kifo cha Putin au Zelensky
Yani ni mpumbavu alafu ni punguaniHuyo sio mzima mkuu ni kama dish limeyumba kiaina
Unawaamini hawa?wakati ule walikuambia kuwa urusi kaishiwa makombora na wewe Kwa Sababu hufikirii ukaja huku kutuambiaHalafu Urusi ameishiwa anarudi kwa lile kubwa lenu la majihad Russia aims to obtain more attack drones from Iran after depleting stockpile, White House says
Weka evidence Kwa Sababu wenyewe waliotupa hayo makombora wamesema wamefikia malengo yao.na huoni maafisa wa NATO wanavyouawa kwenye mahandaki Yao?wanauawa Kwa nini?Kila kombora anatuma linapigwa chini...hadi raha kaishiwa yaani.
🤣🤣🤣 ni kweli aiseeYani ni mpumbavu alafu ni punguani
.PUTIN anaua wajawazito na chekechea na vibabu, maanina zake PUTIN. Siku wakimuua PUTIN nakesha night club, maanina zake PUTIN
Hahahaaaaa,we jamaa kweli ni kichekesho!Halafu Urusi ameishiwa anarudi kwa lile kubwa lenu la majihad Russia aims to obtain more attack drones from Iran after depleting stockpile, White House says
Interceptor failure ikarudi chiniKuwa Mfuasi wa Upinde/NATO
inakupaswa uwe chenga Kidogo kichwani
Hii ni moja ya video zajana kilichotua hapa ni nini?
View attachment 2624166
Angalia Patriot yenu mnayosema mmeiripua.Kuwa Mfuasi wa Upinde/NATO
inakupaswa uwe chenga Kidogo kichwani
Hii ni moja ya video zajana kilichotua hapa ni nini?
View attachment 2624166
Mmelipua basi la Abilia lililoandikwa Patriot harafu mnashangilia?Kwa hiyo ile patriotic ilijidungua yenyewe pale Kiev, si uwega na aibu hata kdgo
Wamelipua basi lililoandikwa Patriot, Patriot Air Defence haijawahi hata kukwanguliwa na risasi,sembuse vibomu uchwara vya hao wakomunist?... habari tusizopenda kuzisikia! Bahati mbaya ndio hivyo tena imeshatokea.
Putin mtetezi wa wanyonge dunianPUTIN anaua wajawazito na chekechea na vibabu, maanina zake PUTIN. Siku wakimuua PUTIN nakesha night club, maanina zake PUTIN
Akili mzigo,inamaana hapo huoni tofauti ya hayo magari?Mmelipua basi la Abilia lililoandikwa Patriot harafu mnashangilia? View attachment 2624380