Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mbona kuna watu walisema NATO tayari iko vitani na Urusi huko Ukraine??Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Ni kweli wapo ila kiwiziwizi na urusi anawatandika kimya kimya tu. Ukraine anaomba msaada wa silaha na mabomu hali nimbaya mrusi kachafukwa.Mbona kuna watu walisema NATO tayari iko vitani na Urusi huko Ukraine??
NATO tayari iko vitani na Urusi huko Ukraine??
Si NATO wanamvimbisha kichwa ngoja aone sasa hao wanaompa kiburi watamfikisha wapi.Kutimuliwa kutoka karibu na Kiev hadi kuanza kushambulia Civilian infrastructures huko ni kushindwa.
NATO wamemsaidia sana, Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.Si NATO wanamvimbisha kichwa ngoja aone sasa hao wanaompa kiburi watamfikisha wapi.
Urusi haihitaji msaada kupigana na UkraineNATO wamemsaidia sana Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.
Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Tuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?Urusi haihitaji msaada kupigana na Ukraine
Kwani urusi na Iran wamekatazwa kuuziana silaha?Tuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?
Magaidi bhana huyo putin hawapendi kweli kweli hamjui tu.Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
🤣🤣 unateseka ukiwa wapi? Kula chuma hikooooMagaidi bhana huyo putin hawapendi kweli kweli hamjui tu.
Huku Russia ikichukua eneo la Ukrane lenye Ukubwa sawa na nchi ya Uganda.Kutimuliwa kutoka karibu na Kiev hadi kuanza kushambulia Civilian infrastructures huko ni kushindwa.
Ni kweli,USA yeye aliabishwa na wasomali hataki hata kuwasikia,baadae akiwa na washirika wake wakapigwa na jamaa wenye kobazi na Ak-47(Taliban) Hadi akakimbia.NATO wamemsaidia sana Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.
Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Mikono yake inanuka damu
Wakubwa wanapima umahiri wa silaha zao na kwenye vita ndio sehemu sahihi ya kupima mapungufu na ubora wa silaha zao ndio maana makamikaze, himars, shaheed yanatumika hukoTuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?