Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Sasa NATO kama wapo wanasidia nini ikiwa Ukraine anaomba msaada wa silaha na mabomu?
Wapoje Kiwiziwizi ??
Kwakweli NATO hawana msaada .kiwizi wizi namanisha hawajatangaza officially kuwa wanapigana huko Ukraine ila wapo maana urusi anazo footages za wanajeshi kutoka marekani, poland na Uingereza aliowaua huko Ukraine.
 
Hamna Rais fala kama Zelensky, yupo kwa ajili ya NATO na si wananchi wake.
Wananchi wake kwa nini hawakuyapokea majeshi ya Urusi pale Kyiv kwa maua na mvinyo?
Kwa nini wananchi wake hawakimbili Ruzzia kama wakimbizi ambako uraia na passports vinagaiwa bure badala yake wanakimbilia EU/Ulaya??
 
Kwakweli NATO hawana msaada .kiwizi wizi namanisha hawajatangaza officially kuwa wanapigana huko Ukraine ila wapo maana urusi anazo footages za wanajeshi kutoka marekani, poland na Uingereza aliowaua huko Ukraine.
Wanajeshi wangapi wa Marekani, Poland na Uingereza wameuwawa na Ruzzia huko Ukraine?
 
NATO wamemsaidia sana Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.

Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Ule mwezi wa kwanza tu, baada ya kuanza kwa SMO Jeshi la ukraine lilikuwa limeshamalizwa. Ndio misaada ya silaha, pesa, inteligensia, na mamluki wakaanza kumiminika toka kila kona yabdunia kupigana dhidi ya Russia.
Mpaka sasa ukraine jeshi lake lililopo front mamaluki ni wengi kuliko wapiganaji wenye uraia wa ukraine.
 
Mamluki ni wangapi na wapiganaji wenye uraia wa Ukraine ni wangapi?
 
Back
Top Bottom