NdiyoHata wewe nao umetoa wa kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoHata wewe nao umetoa wa kwako.
Russia kenge kabisa unaacha kushambulia kambi za kijeshi au majeshi yalipo unashambulia huduma za kijamii...pumbavu kabisa Russia mpaka wanawake zao wanaoshabikia....Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Ni kituko habari kubwa ya kiongozi kutoka Ulaya ipatikane katika gazeti moja tu la Kihindu huko India.Ushaanza mipasho, umetaka source nimekupa.
View attachment 2960726
Au wewe ulitaka sources iwe BBC,Sky News,CNN,DW nk ndio uamini. Hicho chombo cha habari kina miaka 100.
Wabongo utawaweza ndugu yangu!Uzuri hii dunia kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake binafsi, so huo ni mtizamo wako ila kwangu kwa maslahi na usalama wa Russia,Putin yupo sawa
Kutimuliwa kutoka karibu na Kiev hadi kuanza kushambulia Civilian infrastructures huko ni kushindwa.
Hongera, umefuzu propaganda za ujasusi wa kiuchumi za Yericko NyerereWabongo utawaweza ndugu yangu!
Kagame akifanya kitu tu hapo kwake au M23 ilivyoua wanajeshi 3 wa kitanzania mapovu kibao yaliwatoka. Mara ooh! Watutsi si watu salama. Mara ooh! Kagame hakufaa aingizwe kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki. Mara ooh! Kagame anavuruga amani ya huu ukanda inabidi apigwe.
Mara ooh! Ni haki yetu kuilinda Congo ya mashariki kwa sababu inapakana na sisi. Mara ooh! Plan ya Kagame ni kujitanua na kuchukua maeneo zaidi kwani lengo la Tutsi ni kuanzisha empire. Haya yote ukiwauliza sababu ni nini? Jawabu watakujibu ni usalama wa nchi.
Wao tu Kagame kuwa karibu na nchi yetu na kufadhili kikundi cha M23 mapovu kibao yanawatoka. Vipi kwa Russia? Yeye hana haki ya kulinda usalama wake wa nchi? Kama sisi tunavyopambana na purukushani za Kagame na M23, Russia naye ndiyo vilevile hataki Nato imsogelee kwa usalama wake wa nchi.
Yaani wabongo mifano ipo mlangoni kwao lakini wanajifanya hawaelewi. Utawasikia siyo demokrasia kulivamia taifa huru, Putin ni dikteta. Wao wakiminywa kidogo tu na hekaheka za Rwanda mapovu kibao.
Huu mgogoro sote tunajua ulivyoanza na tunajua nani alieanza kutarget Civilian Infrastructure labda uwe una amnesia.Zelensky alishaonywa tabia yake kushambulia visima vya mafuta urusi akakaidi
Huu mgogoro sote tunajua ulivyoanza na tunajua nani alieanza kutarget Civilian Infrastructure labda uwe una amnesia.
Imeshakuwa Simba Yanga, mimi niko hapa nakunywa Heineken ya Bariidi huku nikimshangaa Ayatola kuwaambia Waumini wake kuwa wafe kwanza ndio wakanywe Bia Bariidi.Ugaidi kauanza zelensky, akijibiwa achutame
Hizo nchi kwa civil wars dahh 🙌🙌🙌
🤣🤣🤣 mabwana zenu wamezidiwa .maneno mengi msaada hampeleki. Umeme ni sekta nyeti inayomdhoofisha adui .mliyataka wenyewe wacha yawakute.Russia kenge kabisa unaacha kushambulia kambi za kijeshi au majeshi yalipo unashambulia huduma za kijamii...pumbavu kabisa Russia mpaka wanawake zao wanaoshabikia....
Umeongea jambo la maaana sanaWabongo utawaweza ndugu yangu!
Kagame akifanya kitu tu hapo kwake au M23 ilivyoua wanajeshi 3 wa kitanzania mapovu kibao yaliwatoka. Mara ooh! Watutsi si watu salama. Mara ooh! Kagame hakufaa aingizwe kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki. Mara ooh! Kagame anavuruga amani ya huu ukanda inabidi apigwe.
Mara ooh! Ni haki yetu kuilinda Congo ya mashariki kwa sababu inapakana na sisi. Mara ooh! Plan ya Kagame ni kujitanua na kuchukua maeneo zaidi kwani lengo la Tutsi ni kuanzisha empire. Haya yote ukiwauliza sababu ni nini? Jawabu watakujibu ni usalama wa nchi.
Wao tu Kagame kuwa karibu na nchi yetu na kufadhili kikundi cha M23 mapovu kibao yanawatoka. Vipi kwa Russia? Yeye hana haki ya kulinda usalama wake wa nchi? Kama sisi tunavyopambana na purukushani za Kagame na M23, Russia naye ndiyo vilevile hataki Nato imsogelee kwa usalama wake wa nchi.
Yaani wabongo mifano ipo mlangoni kwao lakini wanajifanya hawaelewi. Utawasikia siyo demokrasia kulivamia taifa huru, Putin ni dikteta. Wao wakiminywa kidogo tu na hekaheka za Rwanda mapovu kibao.
Kwahiyo wewe ndo unagongwa na Russia?....kimekuwashaaaa hatimaye umejibu....mamaee Tena unakili kabisa unagongwa aiseee🤣🤣🤣 mabwana zenu wamezidiwa .maneno mengi msaada hampeleki. Umeme ni sekta nyeti inayomdhoofisha adui .mliyataka wenyewe wacha yawakute.
🤣🤣 kunywa maji upumzike imeingia iyoo mmarekani wa mchongoKwahiyo wewe ndo unagongwa na Russia?....kimekuwashaaaa hatimaye umejibu....mamaee Tena unakili kabisa unagongwa aiseee
Wewe kazi Yako ni kumuunga mkono mme wako TU.Hizo nchi kwa civil wars dahh 🙌🙌🙌
huyu raisi ni mpuuzi sana,Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Ukraine inaenda kuangamiahuyu raisi ni mpuuzi sana,
unaingia kwenye vita (ambayo kulikua na uwezekano wa kuiepuka) kwa kutegemea misaada?
zele either ni puppet au hajui anachofanya!..... unajimwambafai kwa kutumia vifaa vya kupewa?