Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Wananchi wake kwa nini hawakuyapokea majeshi ya Urusi pale Kyiv kwa maua na mvinyo?
Kwa nini wananchi wake hawakimbili Ruzzia kama wakimbizi ambako uraia na passports vinagaiwa bure badala yake wanakimbilia EU/Ulaya??
Wanachi wa wapi wanaotaka vita ? au kutowapokea na hayo maua ina maana ndio wanapenda vita.

Wewe mpaka majenerali wake wanaogopa sasa. Hii vita hayupo raia wa Ukraine anayo itaka ni NATO ndio wanayo ipush wakiamini wanamchosha Urus. Juzi mmoja wa member wa NATO Estonia kupitia Waziri wake wa Ulinzi ,alisema member wote 32 wa NATO wana maaskari wao wanapigana Urus,Mercenaries wapo wa kumwaga. Ila Ukraine kupitia Majenerali wale wamesha nyoosha mikono juu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=S-Mbn_ZcnTA
 
Ilete hiyo link au clip ya huyo waziri wa Estonia.
 
Sasa Zelensky anataka nini tena? Kama vita imemlemea si ipandishe kitambaa cheupe kama papa walivyoshauri? Mambomu hayo huko Ukraine hayaui kweli watoto na wanawake na wazee? Mbona hatusikii free Creamia?
Mbona DRC imelemewa na M23 ila hawajapandisha kitambaa cheupu??
 
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.

Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .

Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Akamatwe akiwa mzima akapigwe shoti za pumbu kama wale Magaidi wake
 
Ni kweli,USA yeye aliabishwa na wasomali hataki hata kuwasikia,baadae akiwa na washirika wake wakapigwa na jamaa wenye kobazi na Ak-47(Taliban) Hadi akakimbia.
USA hakwenda Somalia kupigana alikwenda kuwasaidia Wasomali wasife njaa.
 
Shirika gani la habari hilo?
Limekaa kama jamvi la habari la Musiba
Ushaanza mipasho, umetaka source nimekupa.
Screenshot_20240411_160231_Chrome.jpg

Au wewe ulitaka sources iwe BBC,Sky News,CNN,DW nk ndio uamini. Hicho chombo cha habari kina miaka 100.
 
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.

Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .

Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Ila huwezi kusikia kelele za watu dini fulani kusema urusi anafanya mauaji ya halaiki wala hauwi watoto na wanawake wa ukraine wala hutamuona South africa akienda mahakama ya ICJ ? Israel inapigiwa kelele inafanya mauaji ya Genocide ndio ujue kuna vitendo vya kinafiki na double standard
 
Alivamiwa na urusi kwa visingizio vya uwongo ulitaka amwambie putin chukua nchi yangu asijitete mbona mko kinafiki sana
Nani mnafiki, ushajiuliza Why US alikataa silaha za Urus zisiwekwe Cuba,wakati Cuba sio ardhi ya US?

Ukishapata jibu ndipo utajua nani mnafiki. Ila hamna raia wa Ukraine anaye itaka hii vita,hii vita ni kwa maslahi ya NATO na hata wanajeshi wa Ukraine washaichoka,kwani wanajua wanatumika kwa maslahi ya NATO na US.
 
Back
Top Bottom