Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachi wa wapi wanaotaka vita ? au kutowapokea na hayo maua ina maana ndio wanapenda vita.Wananchi wake kwa nini hawakuyapokea majeshi ya Urusi pale Kyiv kwa maua na mvinyo?
Kwa nini wananchi wake hawakimbili Ruzzia kama wakimbizi ambako uraia na passports vinagaiwa bure badala yake wanakimbilia EU/Ulaya??
Wanachi wa wapi wanaotaka vita ? au kutowapokea na hayo maua ina maana ndio wanapenda vita.
Wewe mpaka majenerali wake wanaogopa sasa. Hii vita hayupo raia wa Ukraine anayo itaka ni NATO ndio wanayo ipush wakiamini wanamchosha Urus. Juzi mmoja wa member wa NATO Estonia kupitia Waziri wake wa Ulinzi ,alisema member wote 32 wa NATO wana maaskari wao wanapigana Urus,Mercenaries wapo wa kumwaga. Ila Ukraine kupitia Majenerali wale wamesha nyoosha mikono juu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=S-Mbn_ZcnTA
Habari kama hii CNN na BBC huwezi kuikuta vyombo vyenu hivyo.Shirika gani la habari hilo?
Limekaa kama jamvi la habari la Musiba
Mbona DRC imelemewa na M23 ila hawajapandisha kitambaa cheupu??Sasa Zelensky anataka nini tena? Kama vita imemlemea si ipandishe kitambaa cheupe kama papa walivyoshauri? Mambomu hayo huko Ukraine hayaui kweli watoto na wanawake na wazee? Mbona hatusikii free Creamia?
Urusi huwa habembelezi hao NATO ni waoga asikwambie mtu.Sasa Zelensky anataka nini tena? Kama vita imemlemea si ipandishe kitambaa cheupe kama papa walivyoshauri? Mambomu hayo huko Ukraine hayaui kweli watoto na wanawake na wazee? Mbona hatusikii free Creamia?
Akamatwe akiwa mzima akapigwe shoti za pumbu kama wale Magaidi wakeHali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Mbona kazibadilisha jina na anasema zimetengenezwa Rusia?Hapewi msaada ananunua hizo drones na shaheeds.
USA hakwenda Somalia kupigana alikwenda kuwasaidia Wasomali wasife njaa.Ni kweli,USA yeye aliabishwa na wasomali hataki hata kuwasikia,baadae akiwa na washirika wake wakapigwa na jamaa wenye kobazi na Ak-47(Taliban) Hadi akakimbia.
Ushaanza mipasho, umetaka source nimekupa.Shirika gani la habari hilo?
Limekaa kama jamvi la habari la Musiba
Kabisa mkuu Putin hii vita ishamshindaKutimuliwa kutoka karibu na Kiev hadi kuanza kushambulia Civilian infrastructures huko ni kushindwa.
🤣🤣🤣🤣Akamatwe akiwa mzima akapigwe shoti za pumbu kama wale Magaidi wake
Mpaka Papa alimueleza anajifanya Kichwa butuAnawa gharimu wananchi wake na Urusi sasa hana huruma.Halafu nafasi anayo ya kusitisha vita na kukubaliana na Putin, ila yy kakomaa.
Ila huwezi kusikia kelele za watu dini fulani kusema urusi anafanya mauaji ya halaiki wala hauwi watoto na wanawake wa ukraine wala hutamuona South africa akienda mahakama ya ICJ ? Israel inapigiwa kelele inafanya mauaji ya Genocide ndio ujue kuna vitendo vya kinafiki na double standardHali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.
Alivamiwa na urusi kwa visingizio vya uwongo ulitaka amwambie putin chukua nchi yangu asijitete mbona mko kinafiki sanaHamna Rais fala kama Zelensky, yupo kwa ajili ya NATO na si wananchi wake.
Nani mnafiki, ushajiuliza Why US alikataa silaha za Urus zisiwekwe Cuba,wakati Cuba sio ardhi ya US?Alivamiwa na urusi kwa visingizio vya uwongo ulitaka amwambie putin chukua nchi yangu asijitete mbona mko kinafiki sana