Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Si tulikubaliana kwamba russia ameshindwa vita mbona YOWE tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeona mauaji ya watoto na wanawake wa Ukraine ?Ila huwezi kusikia kelele za watu dini fulani kusema urusi anafanya mauaji ya halaiki wala hauwi watoto na wanawake wa ukraine wala hutamuona South africa akienda mahakama ya ICJ ? Israel inapigiwa kelele inafanya mauaji ya Genocide ndio ujue kuna vitendo vya kinafiki na double standard
Mabwana zao wamechanganyikiwa.Urusi wahuni sana wanamtandika kimya kimya Gaidi, anataka mpaka mabwana zake waishiwe pesa za kumsaidia.
Si NATO wanamvimbisha kichwa ngoja aone sasa hao wanaompa kiburi watamfikisha wapi.
Magaidi bhana huyo putin hawapendi kweli kweli hamjui tu.
Mwanapropaganda mkubwa wa Urusi na Putin nchi hii ni Yericko NyerereLabda hujamuelewa imhotep , Huyu ni pro magharibi, na hapo kama nimemuelewa anachomaanisha ni " hushindwa kwa puttin "
Hawa ndio wanataka kuongoza Nchi kweli!! Hawa hawa chadema, aise, ni bora ccm iendelee kuongoza
Urusi haihitaji msaada kupigana na Ukraine
Ni nzuri sana lkn usiwe kwenye msigano na mpenda ugonvi kama Putin.Dah huwa naikubali sana diplomasia
Kutumia siaraha za Taifa jingine ni kawaida kama Africa hatuna viwanda vya siraha tulizonazo za kununua mataifa mengineTuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?
Tumempoteza mtanzania mwenzetu akipigana upande wa RussiaBasi hizo ni porojo na propaganda tu.
Si tunaambiwaga Urusi ni Super Power? Vipi tena?!Kutumia siaraha za Taifa jingine ni kawaida kama Africa hatuna viwanda vya siraha tulizonazo za kununua mataifa mengine
Russia ni mvamizi tu.Nani mnafiki, ushajiuliza Why US alikataa silaha za Urus zisiwekwe Cuba,wakati Cuba sio ardhi ya US?
Ukishapata jibu ndipo utajua nani mnafiki. Ila hamna raia wa Ukraine anaye itaka hii vita,hii vita ni kwa maslahi ya NATO na hata wanajeshi wa Ukraine washaichoka,kwani wanajua wanatumika kwa maslahi ya NATO na US.
Tatizo lenu oya oya hamjui hata historia nimekuuliza simple question una hunya hunya,Russia si mjinga sababu iliyofanya US ampige mkwara Cuba ndio sababu hiyo hiyo iliyo mfanya Ukraine apigwe. Uzuri alionywa na Russia ila NATO na US wakampa kiburi, ila hamna raia yoyote wa Ukraine anayetaka vita na Russia.Russia ni mvamizi tu.
Sasa wewe unayehalalisha makosa ya Russia kwa kutumia makosa ya USA ni mtu gani wewe?Tatizo lenu oya oya hamjui hata historia nimekuuliza simple question una hunya hunya,Russia si mjinga sababu iliyofanya US ampige mkwara Cuba ndio sababu hiyo hiyo iliyo mfanya Ukraine apigwe. Uzuri alionywa na Russia ila NATO na US wakampa kiburi, ila hamna raia yoyote wa Ukraine anayetaka vita na Russia.
Sababu ni moja tu usalama wa taifa,US alimpiga mkwara Cuba sababu ya usalama wa taifa lake na Russia kampiga Ukraine sababu wa usalama wa taifa lake.Sasa wewe unayehalalisha makosa ya Russia kwa kutumia makosa ya USA ni mtu gani wewe?
Focus, Russia ni mvamizi period.Sababu ni moja tu usalama wa taifa,US alimpiga mkwara Cuba sababu ya usalama wa taifa lake na Russia kampiga Ukraine sababu wa usalama wa taifa lake.
Halafu umetumia neno zuri "makosa",sasa kama kile alichofanya US kwa Cuba unakiona makosa.
Ushajaribu kujiuliza why US anashabikia kilekile alicho kikataa kwa Cuba wakati ni makosa?
Uzuri hii dunia kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake binafsi, so huo ni mtizamo wako ila kwangu kwa maslahi na usalama wa Russia,Putin yupo sawaFocus, Russia ni mvamizi period.
Yes kwa mtazamo wako. Utaelewa vizuri siku ukiingia kwenye mgogoro wa mpaka wa shambalako mtu mbabe, mwenye pesa na mamlaka.Uzuri hii dunia kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake binafsi, so huo ni mtizamo wako ila kwangu kwa maslahi na usalama wa Russia,Putin yupo sawa
Hata wewe nao umetoa wa kwako.Yes kwa mtazamo wako.