MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
Nakuona kidemu cha Russia...Hadi hii vita iishe mtaolewa wengi mamaeee😄🤣🤣 kunywa maji upumzike imeingia iyoo mmarekani wa mchongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona kidemu cha Russia...Hadi hii vita iishe mtaolewa wengi mamaeee😄🤣🤣 kunywa maji upumzike imeingia iyoo mmarekani wa mchongo
Mkuu neno msaada kwako lina maana ipi? Russia anapewa bure hizo Shaheeds?Tuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?
Wahenga walisema ni bora miaka 10 ya mazungumzo kuliko siku 1 ya vita.Dah huwa naikubali sana diplomasia
Kwa nini wananchi wake hawakimbili Ruzzia kama wakimbizi ambako uraia na passports vinagaiwa bure badala yake wanakimbilia EU/Ulaya??
Ukraine pia hua anashambulia refineries za gas na mafuta za Warusi so Urusi anachofanya ni sahihiRussia kenge kabisa unaacha kushambulia kambi za kijeshi au majeshi yalipo unashambulia huduma za kijamii...pumbavu kabisa Russia mpaka wanawake zao wanaoshabikia....
Eidha wewe ni Kijana mdogo tokea lini so called Super power ikanunua silaha tena Drones?Mkuu neno msaada kwako lina maana ipi? Russia anapewa bure hizo Shaheeds?
Namba za kubumba za Urusi, wanawahesabu wale raia wa Ukraine kwenye maeneo waliyopora kule Donbas waliokataa uraia na passport za Urusi.
Hamna taifa ambalo lipo selfsuffient kwa kila kitu kiulinzi na usalama. Nature pia na mahitaji ya battle husika hua inapelekea taifa fulani kuimport aina fulani ya siraha. Sio kwamba Russia hakuwa na drones za kivita, alikuwa nazo ila kwa nature ya battlefield ikamuhitaji awe na cheap suicide drones na yeye hana program ya kuzalisha hizi drone ndo maana akanunua hizi.Eidha wewe ni Kijana mdogo tokea lini so called Super power ikanunua silaha tena Drones?
Leta ushahidiNamba za kubumba za Urusi, wanawahesabu wale raia wa Ukraine kwenye maeneo waliyopora kule Donbas waliokataa uraia na passport za Urusi.
US anasaidia Uchumi wa Western Europe kama kawaida yake na anaweza kupigana Vita bila msaada wa Silaha sio kama Russia ambae mpaka akampigie magoti Ayatolah.Hamna taifa ambalo lipo selfsuffient kwa kila kitu kiulinzi na usalama. Nature pia na mahitaji ya battle husika hua inapelekea taifa fulani kuimport aina fulani ya siraha. Sio kwamba Russia hakuwa na drones za kivita, alikuwa nazo ila kwa nature ya battlefield ikamuhitaji awe na cheap suicide drones na yeye hana program ya kuzalisha hizi drone ndo maana akanunua hizi.View attachment 2962320View attachment 2962321
Hueleweki unasimamia nini, mwanzo ulisema super power hapaswi kununua siraha, nimekuwekea ushahidi kwamba US ni super power na bado ana import siraha saizi unahamisha goli? By the way huenda anaweza kupigana vita bila msaada wa siraha ila hawezi kupigana vita bila msaada wa askari wa washirika ambao wanakuwa na siraha zao.US anasaidia Uchumi wa Western Europe kama kawaida yake na anaweza kupigana Vita bila msaada wa Silaha.
🙏🏼🙌 nakubali yaishe, karibu Kigamboni tunywe Bia Baridi.Hueleweki unasimamia nini, mwanzo ulisema super power hapaswi kununua siraha, nimekuwekea ushahidi kwamba US ni super power na bado ana import siraha saizi unahamisha goli? By the way huenda anaweza kupigana vita bila msaada wa siraha ila hawezi kupigana vita bila msaada wa askari wa washirika ambao wanakuwa na siraha zao.
Shukrani mkuu.🙏🏼🙌 nakubali yaishe, karibu Kigamboni tunywe Bia Baridi.
Urusi zile drone anatengeneza mwenyewe zinaitwa GERAN 2 , under licence production kutoka kwa Iran na sio kwamba anapewa na iran sio kweliTuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?
Russia sio tena Super power ameomba msaada hadi North Korea.Urusi zile drone anatengeneza mwenyewe zinaitwa GERAN 2 , under licence production kutoka kwa Iran na sio kwamba anapewa na iran sio kweli
Fatilia kiwanda kinaitwa Alabuga Complex cha urusi uone wanavyotengeneza hizo drone
Ishajibiwa sana hiyo sina mpango wa kuumiza kichwa , wewe amini unavyotaka hamna anaekukatazaRussia sio tena Super power ameomba msaada hadi North Korea.
Asante.Ishajibiwa sana hiyo sina mpango wa kuumiza kichwa , wewe amini unavyotaka hamna anaekukataza
Ndio yalivyo mayahudi yanatumikiwa na US, UK na European.Hamna Rais fala kama Zelensky, yupo kwa ajili ya NATO na si wananchi wake.
Kumbuka urusi hajatangaza vita, ila ni operation.NATO wamemsaidia sana, Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.
Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.