Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

Russia kenge kabisa unaacha kushambulia kambi za kijeshi au majeshi yalipo unashambulia huduma za kijamii...pumbavu kabisa Russia mpaka wanawake zao wanaoshabikia....
Ukraine pia hua anashambulia refineries za gas na mafuta za Warusi so Urusi anachofanya ni sahihi
 
Eidha wewe ni Kijana mdogo tokea lini so called Super power ikanunua silaha tena Drones?
Hamna taifa ambalo lipo selfsuffient kwa kila kitu kiulinzi na usalama. Nature pia na mahitaji ya battle husika hua inapelekea taifa fulani kuimport aina fulani ya siraha. Sio kwamba Russia hakuwa na drones za kivita, alikuwa nazo ila kwa nature ya battlefield ikamuhitaji awe na cheap suicide drones na yeye hana program ya kuzalisha hizi drone ndo maana akanunua hizi.
 
US anasaidia Uchumi wa Western Europe kama kawaida yake na anaweza kupigana Vita bila msaada wa Silaha sio kama Russia ambae mpaka akampigie magoti Ayatolah.
 
US anasaidia Uchumi wa Western Europe kama kawaida yake na anaweza kupigana Vita bila msaada wa Silaha.
Hueleweki unasimamia nini, mwanzo ulisema super power hapaswi kununua siraha, nimekuwekea ushahidi kwamba US ni super power na bado ana import siraha saizi unahamisha goli? By the way huenda anaweza kupigana vita bila msaada wa siraha ila hawezi kupigana vita bila msaada wa askari wa washirika ambao wanakuwa na siraha zao.
 
🙏🏼🙌 nakubali yaishe, karibu Kigamboni tunywe Bia Baridi.
 
Tuache ushabiki ushabiki huondoa Logic, mbona tumekuwa tukizishuhudia Shaheed Drones za Ayatolah zikipiga Majengo ya Ukraine?
Urusi zile drone anatengeneza mwenyewe zinaitwa GERAN 2 , under licence production kutoka kwa Iran na sio kwamba anapewa na iran sio kweli

Fatilia kiwanda kinaitwa Alabuga Complex cha urusi uone wanavyotengeneza hizo drone
 
Urusi zile drone anatengeneza mwenyewe zinaitwa GERAN 2 , under licence production kutoka kwa Iran na sio kwamba anapewa na iran sio kweli

Fatilia kiwanda kinaitwa Alabuga Complex cha urusi uone wanavyotengeneza hizo drone
Russia sio tena Super power ameomba msaada hadi North Korea.
 
Hamna Rais fala kama Zelensky, yupo kwa ajili ya NATO na si wananchi wake.
Ndio yalivyo mayahudi yanatumikiwa na US, UK na European.

Huyo asili yake ni wale Majewish walio potea wakaokotwa Ukraine

Kama walivyo waokota majewish huko Europe wakawa leta Palestine wakatengeneza taifa teule la makondoo 😄 wanawatumia hivyo hivyo wanawapa silaha za bure kama ukraine ili wapigane Israel na Warabu na Ukraine na Mrusi.
 
NATO wamemsaidia sana, Russia ni Nchi tajiri asingeweza kupigana bila msaada.

Ila Ukraine imemuaibisha Russia ambaye alikiwa Super power hadi kwenda kuomba msaada kwa Ayatolah.
.
Kumbuka urusi hajatangaza vita, ila ni operation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…