Urusi yatoa masharti ya kusitisha vita Ukraine

Aache kulialia kuwekea wanaume masharti, hayo masharti akaweke kwa mkewe, kwanza toka awali amekuwa anaweka masharti lakini yanapuuzwa na ndo maana Sasa anatumia ubavu, Sasa hayo masharti ya nini Tena?![emoji2][emoji2]. Apambane aache kujilizaliza.

Wewe ni mkikuyu or jaluo?, unachekesha sana 🤣🤣🤣🤣 eti aache kulialia, unadhani puttin ni wale wanaosapoti ushoga wanaouwa watu waco na hatia!!
 
Wewe ni mkikuyu or jaluo?, unachekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti aache kulialia, unadhani puttin ni wale wanaosapoti ushoga wanaouwa watu waco na hatia!!
vipi wewe ni WA Mombasa ama wa Lamu? Putin mwenyewe ni shoga na muuaji wa watu wasio na hatia kama walivyo wauaji wengine, aache kulialia masharti yake yashapuuzwa toka awali ndo akaamua kuvamia.
 
Mimi na wewe ulioko kenya unaeshabikia wauwaji na wahalalishaji ushoga ni nani anaejitambuwa? Wakati libya/mwafrika mwenzio anavamiwa ulimsapoti mzungu, wakati anavamiwa iraq ulimsapoti mzungu, wakati syria anapigwa ulimsapoti mzungu, israel mpaka leo anauwa watoto, wazee unachekelea na kusapoti myahudi.

Kati yangu mimi na wewe nani anajitambuwa?😁
 
Comedian akubali tu mashariti hayo. Otherwise watakwisha wanajeshi wake.
Ushabiki unaua ubongo Sana, wewe unafikili rais wa Ukraine ni legelege kama raia wa tz, wenzetu wako vizuri niwazalendo hasaa hawana mchezo , ndio maana urusi inarusha makombora kutoka mbali ina maana logistics za jeshi zimeshindwa, jamaa waliwaacha waingie harafu ghafla wakabadilisha alama za barabarani kilichotokea sio poa. Kwa uwezo wa urusi kimedani asingepata casualties wengi Kuna sehemu wenzake wamemtime
 
Mimi na wewe ulioko kenya unaeshabikia wauwaji na wahalalishaji ushoga ni nani anaejitambuwa? Wakati libya/mwafrika mwenzio anavamiwa ulimsapoti mzungu, wakati anavamiwa iraq ulimsapoti mzungu, wakati syria anapigwa ulimsapoti mzungu, israel mpaka leo anauwa watoto, wazee unachekelea na kusapoti myahudi.

Kati yangu mimi na wewe nani anajitambuwa?[emoji16]
Tulikuwa wote hapo Mombasa kipindi namsapoti huyo mzungu?! Afu sio kila mtu hapa jamvini ni mkenya mwenzio, wengi wetu humu ni wa kwa Nyerere, wakenya mpo wachache sana humu.
 
Sasa unamsapoti nani??

Alafu mimi co mkenya bwana a.k.a kibaraka wa marekani.
 
Aache kulialia kuwekea wanaume masharti, hayo masharti akaweke kwa mkewe, kwanza toka awali amekuwa anaweka masharti lakini yanapuuzwa na ndo maana Sasa anatumia ubavu, Sasa hayo masharti ya nini Tena?![emoji2][emoji2]. Apambane aache kujilizaliza.
Baba yenu kesha anza kulegea.
Screenshot_20220308-184135.jpg

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom