Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NonsensePutin, jasusi jeuri, kwa vita hii hachomoki. Naona umauti ukimkumbatia siku chache zijazo
Aache kulialia kuwekea wanaume masharti, hayo masharti akaweke kwa mkewe, kwanza toka awali amekuwa anaweka masharti lakini yanapuuzwa na ndo maana Sasa anatumia ubavu, Sasa hayo masharti ya nini Tena?![emoji2][emoji2]. Apambane aache kujilizaliza.
vipi wewe ni WA Mombasa ama wa Lamu? Putin mwenyewe ni shoga na muuaji wa watu wasio na hatia kama walivyo wauaji wengine, aache kulialia masharti yake yashapuuzwa toka awali ndo akaamua kuvamia.Wewe ni mkikuyu or jaluo?, unachekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti aache kulialia, unadhani puttin ni wale wanaosapoti ushoga wanaouwa watu waco na hatia!!
sio mbaya aunganishe tu kwagharama yeyote ile tupo radhi naeBanda ya hapo atakuja tena kusema odesa ijiunge na urusi au iwe taifa huru urussi atarudisha USSR kwa damu nying Sana
Mimi na wewe ulioko kenya unaeshabikia wauwaji na wahalalishaji ushoga ni nani anaejitambuwa? Wakati libya/mwafrika mwenzio anavamiwa ulimsapoti mzungu, wakati anavamiwa iraq ulimsapoti mzungu, wakati syria anapigwa ulimsapoti mzungu, israel mpaka leo anauwa watoto, wazee unachekelea na kusapoti myahudi.vipi wewe ni WA Mombasa ama wa Lamu? Putin mwenyewe ni shoga na muuaji wa watu wasio na hatia kama walivyo wauaji wengine, aache kulialia masharti yake yashapuuzwa toka awali ndo akaamua kuvamia.
Ushabiki unaua ubongo Sana, wewe unafikili rais wa Ukraine ni legelege kama raia wa tz, wenzetu wako vizuri niwazalendo hasaa hawana mchezo , ndio maana urusi inarusha makombora kutoka mbali ina maana logistics za jeshi zimeshindwa, jamaa waliwaacha waingie harafu ghafla wakabadilisha alama za barabarani kilichotokea sio poa. Kwa uwezo wa urusi kimedani asingepata casualties wengi Kuna sehemu wenzake wamemtimeComedian akubali tu mashariti hayo. Otherwise watakwisha wanajeshi wake.
He's out of his mind. Completely Mad. He won't stop after that but rather will proceed to other neighbourhood targets.Putin is primitive!
Tulikuwa wote hapo Mombasa kipindi namsapoti huyo mzungu?! Afu sio kila mtu hapa jamvini ni mkenya mwenzio, wengi wetu humu ni wa kwa Nyerere, wakenya mpo wachache sana humu.Mimi na wewe ulioko kenya unaeshabikia wauwaji na wahalalishaji ushoga ni nani anaejitambuwa? Wakati libya/mwafrika mwenzio anavamiwa ulimsapoti mzungu, wakati anavamiwa iraq ulimsapoti mzungu, wakati syria anapigwa ulimsapoti mzungu, israel mpaka leo anauwa watoto, wazee unachekelea na kusapoti myahudi.
Kati yangu mimi na wewe nani anajitambuwa?[emoji16]
Sasa unamsapoti nani??Tulikuwa wote hapo Mombasa kipindi namsapoti huyo mzungu?! Afu sio kila mtu hapa jamvini ni mkenya mwenzio, wengi wetu humu ni wa kwa Nyerere, wakenya mpo wachache sana humu.
Namsapoti baba, mama na ndugu zangu. Wewe unamsapoti nani?!Sasa unamsapoti nani??
Alafu mimi co mkenya bwana a.k.a kibaraka wa marekani.
Namsapoti baba, mama na ndugu zangu. Wewe unamsapoti nani?!
Wewe ni raia wa wapi na ni kibaraka wa nani?
Kwa hiyo wewe umekuja kumsapoti mtu humu[emoji23][emoji23][emoji23], ni nani huyo uliyekuja kumsapoti?!Sasa umefuata nini humu? Si ukae huko uwasapoti wazazi na ndugu mzee.
Nasimamia haki
Moja kwamoja Kama bado wajamaa tunalima migove ,tunatumia jembe lamkono sio Jambo dogoPutin is primitive!
Baba yenu kesha anza kulegea.Aache kulialia kuwekea wanaume masharti, hayo masharti akaweke kwa mkewe, kwanza toka awali amekuwa anaweka masharti lakini yanapuuzwa na ndo maana Sasa anatumia ubavu, Sasa hayo masharti ya nini Tena?![emoji2][emoji2]. Apambane aache kujilizaliza.
DahBaba yenu kesha anza kulegea.View attachment 2143590
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app