Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Russian propagandaBaba yenu kesha anza kulegea.View attachment 2143590
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russian propagandaBaba yenu kesha anza kulegea.View attachment 2143590
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ukraine kashapata hasara ya kutosha ya miundo mbinu, aheri vita iendelee ili angalau Urusi apoteze askari wa kutosha.Kwa destruction inayoendelea Ukraine, na kwa masharti hayo, nakubali.......
Wanatafuta upenyo.Putin aseme tu kwamba ameshindwa vita ieleweke moja.
Putin kwshaharibu miundombinu alafu sasa hivi anakuja na masharti ya kijingajinga tu.Ukraine kashapata hasara ya kutosha ya miundo mbinu, aheri vita iendelee ili angalau Urusi apoteze askari wa kutosha.
Anajitambuwa= AnajitambuaMimi na wewe ulioko kenya unaeshabikia wauwaji na wahalalishaji ushoga ni nani anaejitambuwa? Wakati libya/mwafrika mwenzio anavamiwa ulimsapoti mzungu, wakati anavamiwa iraq ulimsapoti mzungu, wakati syria anapigwa ulimsapoti mzungu, israel mpaka leo anauwa watoto, wazee unachekelea na kusapoti myahudi.
Kati yangu mimi na wewe nani anajitambuwa?😁
Wala siyo mpumbavu, hayo masharti yana maana sana kwa usalama wa Urusi kiulinzi na kiuchumiKama kweli masharti ni hayo tu Putin mpumbavu
Mashariti ni sehemu ya vita pia. Au wangewatengenezea Pepsi zenye sumuVita ni vita, masharti ya nini tena?
Walibeza mazungumzo na mikataba... sasa wanaambiwa masharti si mkataba tena.
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na Donetsk na Luhansk kama mataifa huru.
Mbali na hayo, Peskov anasema Ukraine lazima irekebishe katiba yake na kukataa madai ya kuingia katika kambi yoyote (kama vile Nato, kwa mfano).
Anaongeza kuwa Urusi itamaliza "kuondoa jeshi" kwa Ukraine, na ikiwa masharti haya yatatimizwa hatua za kijeshi za Urusi "zitakoma mara moja".
Msemaji wa Kremlin amesisitiza kuwa Urusi haitaki kutoa madai yoyote zaidi ya eneo nchini Ukraine.
BBC swahili
Kikao kinaendelea.......
Majadiliano kwa njia ya simu yanaendelea muda huu kat ya Rais Putin na Rais wa Uturuki na tayari Putin ametoa mapendekezo yake ili Russia isitishe vita.
Mosi, Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.
Pili, Ukraine kamwe isifikirie tena kujiunga na NATO
Tatu, Russia ikabidhiwe eneo la mashariki la nchi ya Ukraine iwe eneo lake.
Chanzo: BBC
Subiri malengo yetu yote lazima yatimieToo late, mboga na ugali vyote vimeshamwagwa, Urusi ameshajiachia akaonwa udhaifu wake, hana jipya tena.
Tafuta mkataba wa marekani na japani. Ndio ujue upi mkataba mbaya wkijingaMashart ya kidada sana .i vita ya kijinga tu
Watu wenye utu bado wapo wachache kama wewe retired. Nakuunga mkonoKwa destruction inayoendelea Ukraine, na kwa masharti hayo, nakubali.......
Huoni watu wanauawa ndugu yangu .mm naona mashart ni mepesi ningekubari tu miji isiendelee kubomolewaNgoja nicheke kwa dharau [emoji51][emoji51][emoji1][emoji1],hayo masharti anaweza kukubali mke wa Putin sio Ukraine..
Wenzako wanauawa ww umejikalia kwa amani tz. Hurumia watu wanaouawaAache kulialia kuwekea wanaume masharti, hayo masharti akaweke kwa mkewe, kwanza toka awali amekuwa anaweka masharti lakini yanapuuzwa na ndo maana Sasa anatumia ubavu, Sasa hayo masharti ya nini Tena?![emoji2][emoji2]. Apambane aache kujilizaliza.