Urusi yatoa masharti ya kusitisha vita Ukraine

Urusi yatoa masharti ya kusitisha vita Ukraine

Kwa destruction inayoendelea Ukraine, na kwa masharti hayo, nakubali.......
Ukraine kashapata hasara ya kutosha ya miundo mbinu, aheri vita iendelee ili angalau Urusi apoteze askari wa kutosha.
 
Ukraine kashapata hasara ya kutosha ya miundo mbinu, aheri vita iendelee ili angalau Urusi apoteze askari wa kutosha.
Putin kwshaharibu miundombinu alafu sasa hivi anakuja na masharti ya kijingajinga tu.
 
Mimi na wewe ulioko kenya unaeshabikia wauwaji na wahalalishaji ushoga ni nani anaejitambuwa? Wakati libya/mwafrika mwenzio anavamiwa ulimsapoti mzungu, wakati anavamiwa iraq ulimsapoti mzungu, wakati syria anapigwa ulimsapoti mzungu, israel mpaka leo anauwa watoto, wazee unachekelea na kusapoti myahudi.

Kati yangu mimi na wewe nani anajitambuwa?😁
Anajitambuwa= Anajitambua
 
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na Donetsk na Luhansk kama mataifa huru.

Mbali na hayo, Peskov anasema Ukraine lazima irekebishe katiba yake na kukataa madai ya kuingia katika kambi yoyote (kama vile Nato, kwa mfano).

Anaongeza kuwa Urusi itamaliza "kuondoa jeshi" kwa Ukraine, na ikiwa masharti haya yatatimizwa hatua za kijeshi za Urusi "zitakoma mara moja".
Msemaji wa Kremlin amesisitiza kuwa Urusi haitaki kutoa madai yoyote zaidi ya eneo nchini Ukraine.

BBC swahili
Walibeza mazungumzo na mikataba... sasa wanaambiwa masharti si mkataba tena.

hayo masharti ndio lengo la vita - pamoja na kufuta itikadi za ki nazi zilizoruhusiwa kushamiri na kutesa warusi wa ukraine.

Devils ni wale waliobagua na kuchochea vita
 
Majadiliano kwa njia ya simu yanaendelea muda huu kat ya Rais Putin na Rais wa Uturuki na tayari Putin ametoa mapendekezo yake ili Russia isitishe vita.

Mosi, Ukraine ikubali kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote.

Pili, Ukraine kamwe isifikirie tena kujiunga na NATO

Tatu, Russia ikabidhiwe eneo la mashariki la nchi ya Ukraine iwe eneo lake.

Chanzo: BBC
 
Mwanaume huyu! Safi kabisa
 
Too late, mboga na ugali vyote vimeshamwagwa, Urusi ameshajiachia akaonwa udhaifu wake, hana jipya tena.
 
Aache kulialia kuwekea wanaume masharti, hayo masharti akaweke kwa mkewe, kwanza toka awali amekuwa anaweka masharti lakini yanapuuzwa na ndo maana Sasa anatumia ubavu, Sasa hayo masharti ya nini Tena?![emoji2][emoji2]. Apambane aache kujilizaliza.
Wenzako wanauawa ww umejikalia kwa amani tz. Hurumia watu wanaouawa
 
Back
Top Bottom