Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS.

Anasema kuwa nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa lengo lake ni kuiangamiza Urusi na kwamba zimejaribu kuwageuza watu wa Ukraine kuingia kwenye vita kwa lazima.

Lengo letu ni kuikomboa Donbas, anasema.

Rais Putin anasema nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa hazitaki amani kati ya Ukraine na Urusi.

Putin pia anasema kuwa atatoa hadhi ya kisheria kwa ‘’wanaojitolea’’ wanaopigana huko Donbas.

Putin ametangaza kuwa kuanzia leo ni muhimu kuchukua uamuzi wa haraka ili kulinda watu katika ‘’ardhi zilizokombolewa’’.

“Ndiyo maana niliiomba wizara ya ulinzi kukusanya jeshi kwa ajili ya vita,” anasema.

Amesema agizo hilo tayari limetiwa saini na linaanza kutekelezwa leo.

Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi.

Putin ameongeza kuwa nchi za Magharibi zimekuwa zikiichafua Urusi lakini Urusi ina silaha nyingi za kujibu.

“Tutatumia rasilimali zote tulizonazo kuwatetea watu wetu,” anasema.

‘’Nina imani na msaada wako,’’ anahitimisha.

==============
Ikumbukwe mikoa anayoikalia ndio yenye utajiri wa viwanda, gesi, madini na mashamba ya Ngano.

Ukraine amepoteza pakubwa sana. Sasa ni mwendo wa kulinda alichojitwalia

#chanzobbcswahili
#StarTvUpdate

Screenshot_20220920-161917_Facebook.jpg
 
'Don't underestimate the West... don't test us': Defence Secretary's warning to Russian President Vladimir Putin- Ben Wallace, UK Defence Minister​

"Yes, I think that Vladimir Putin must also understand that the Atlantic alliance is a nuclear alliance. That is all I will say about this," Le Drian
 
Mikwara ya mbwa akiwa ndani ya fence
 
Sisi nao tumejiandaa kuwaua kadri tuwezavyo, kama mmeleta full force, mmeshindwa ndo hao masaria wataweza
Inachekesha na kustaajabisha mno kweli. Yaani Putin na uzee wake, vita aliyoianzisha mwenyewe imemchanganya akili hadi amefikia hatua ya kuzoa-zoa watu anawakusanya toka mitaani alimradi tu wavae kombat na kuwapa vijikaratasi vya utambulisho eti ni wanajeshi wa Urussi. Mbona analidhalilisha mno jeshi lake mwenyewe? Nadhani Huyu jamaa afungwe tu kamba sasa kwani ameshakuwa ni kichaa kamili.

HIMARS umenena sawasawa. Mtindo Ni kuweka "Full Bust" na magazine ziwe 3 full loaded kwani kazi itakayokuwapo hapo ni ya kuua tu hata kama umefumba macho -unaminya trigger tu hakuna hata cha shabaha. Aisee! hiki ni mojawapo ya vituko vya Wakubwa duniani.

......Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS.

Anasema kuwa nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa lengo lake ni kuiangamiza Urusi na kwamba zimejaribu kuwageuza watu wa Ukraine kuingia kwenye vita kwa lazima.

Lengo letu ni kuikomboa Donbas, anasema.

Rais Putin anasema nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa hazitaki amani kati ya Ukraine na Urusi.

Putin pia anasema kuwa atatoa hadhi ya kisheria kwa ‘’wanaojitolea’’ wanaopigana huko Donbas.

Putin ametangaza kuwa kuanzia leo ni muhimu kuchukua uamuzi wa haraka ili kulinda watu katika ‘’ardhi zilizokombolewa’’.

“Ndiyo maana niliiomba wizara ya ulinzi kukusanya jeshi kwa ajili ya vita,” anasema.

Amesema agizo hilo tayari limetiwa saini na linaanza kutekelezwa leo.

Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi.

Putin ameongeza kuwa nchi za Magharibi zimekuwa zikiichafua Urusi lakini Urusi ina silaha nyingi za kujibu.

“Tutatumia rasilimali zote tulizonazo kuwatetea watu wetu,” anasema.

‘’Nina imani na msaada wako,’’ anahitimisha.

#chanzobbcswahili
#StarTvUpdate

View attachment 2363393
Yuko sahihi kabisa. Urusi inapigana kuyaleta maeneo ya asili ya warusi kwenye shirikisho la urusi.
Nchi za magharibi waache unafiki. Walipounga mkono kusambaratika shirikishi la yugoslavia kila kabila kua nchi walifikiri dunia haioni? Licha ya wayugoslavia kua mbari moja ya ki slav. Wakawatenga wa croatia na wa serbia, wakawatenga wa montenegro na wa serbia, wakaitenga cossovo na serbia etc etc yogoslavia ikasambaratika. Yote lengo likiwa kulivunja taifa lililojengwa kwa msingi wa kijamaa na taifa rafiki na urusi.
Leo hii tunaona tena marekani ikifunga kibwebwe kwa nia ya kuichoma kisu urusi. Kujaribu kuizingira kwa kuwageuza ndugu wa asili wa urusi kua maadui zake. Kwa hilo maeneo ya ukraine ya kabila la kirusi wamesema hapana na urusi iko tayari kuwasaidia kuungana na nchi yao shirikisho la urusi.
 
'Don't underestimate the West... don't test us': Defence Secretary's warning to Russian President Vladimir Putin- Ben Wallace, UK Defence Minister​

"Yes, I think that Vladimir Putin must also understand that the Atlantic alliance is a nuclear alliance. That is all I will say about this," Le Drian
😄😄😄 West uwezo wao Ni kuwapiga waafrika na Waarabu tu.
 
Inachekesha na kustaajabisha mno kweli. Yaani Putin na uzee wake, vita aliyoianzisha mwenyewe imemchanganya akili hadi amefikia hatua ya kuzoa-zoa watu anawakusanya toka mitaani alimradi tu wavae kombat na kuwapa vijikaratasi vya utambulisho eti ni wanajeshi wa Urussi. Mbona analidhalilisha mno jeshi lake mwenyewe? Nadhani Huyu jamaa afungwe tu kamba sasa kwani ameshakuwa ni kichaa kamili. HIMARS umenena sawasawa. Mtindo Ni kuweka "Full Bust" na magazine ziwe 3 full loaded kwani kazi itakayokuwapo hapo ni ya kuua tu hata kama umefumba macho -unaminya trigger tu hakuna hata cha shabaha. Aisee! hiki ni mojawapo ya vituko vya Wakubwa duniani.
......Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi
Biden ameshaacha kusalimia vivuli?
 
Yuko sahihi kabisa. Urusi inapigana kuyaleta maeneo ya asili ya warusi kwenye shirikisho la urusi.
Nchi za magharibi waache unafiki. Walipounga mkono kusambaratika shirikishi la yugoslavia kila kabila kua nchi walifikiri dunia haioni? Licha ya wayugoslavia kua mbari moja ya ki slav. Wakawatenga wa croatia na wa serbia, wakawatenga wa montenegro na wa serbia, wakaitenga cossovo na serbia etc etc yogoslavia ikasambaratika. Yote lengo likiwa kulivunja taifa lililojengwa kwa msingi wa kijamaa na taifa rafiki na urusi.
Leo hii tunaona tena marekani ikifunga kibwebwe kwa nia ya kuichoma kisu urusi. Kujaribu kuizingira kwa kuwageuza ndugu wa asili wa urusi kua maadui zake. Kwa hilo maeneo ya ukraine ya kabila la kirusi wamesema hapana na urusi iko tayari kuwasaidia kuungana na nchi yao shirikisho la urusi.
Karne ya 21 bado kuna watu tunazungumzia Ukabila. Ukraine ni Taifa sio kabila.
 
Inachekesha na kustaajabisha mno kweli. Yaani Putin na uzee wake, vita aliyoianzisha mwenyewe imemchanganya akili hadi amefikia hatua ya kuzoa-zoa watu anawakusanya toka mitaani alimradi tu wavae kombat na kuwapa vijikaratasi vya utambulisho eti ni wanajeshi wa Urussi. Mbona analidhalilisha mno jeshi lake mwenyewe? Nadhani Huyu jamaa afungwe tu kamba sasa kwani ameshakuwa ni kichaa kamili. HIMARS umenena sawasawa. Mtindo Ni kuweka "Full Bust" na magazine ziwe 3 full loaded kwani kazi itakayokuwapo hapo ni ya kuua tu hata kama umefumba macho -unaminya trigger tu hakuna hata cha shabaha. Aisee! hiki ni mojawapo ya vituko vya Wakubwa duniani.
......Amesema kuwa raia wote ambao watakusnywa watakuwa na hadhi kamili ya jeshi
Sawa kazoa watu wa mtaani sasa mbona anawaendesha nyie ambao ni trained expert soldiers? Hujiulizi au unajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom