Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

Wewe ndio mzushi hujui historia why blacks are in US, na sio China, India wala Russia.
 

MJUE KAMANDA MPYA WA OPERATIONS UKRAINE.​

Ni mwanajeshi mwenye uzoefu​

Baada ya mambo kuwa magumu huko Ukraine, Rais Putin amemteua ndugu Dvornikov kuwa kqmqnda wa opérations.

Dvornikov alijiunga na jeshi la Usovieti katika mwaka 1978 baada ya kuhitimu kutoka shule ya kijeshi iliyoko mashariki mwa Urusi.
Alianza kazi yake kwa kupanda cheo haraka baada ya kupata cheo kama platuni kamanda katika mwaka1982.
Alipata diploma ya masuala ya kijeshi katika chuo cha jeshi cha Frunze katika mwaka 1991, katikati ya kuvunjika kwa Muungano wa Usovieti.
Katika miaka ya 2000, Dvornikov alipigana katika vita ya pili nchini Chechnya na kushikilia vyeo vya juu kadhaa kabla yar ais wa Urusi Vladimir Putin kumteua kuwa mkuu wa majeshi ya Urusi nchini Syria katika mwaka 2015.
Dvornikov alihudumu kama kamanda wa kwanza wa jeshi la Urusi katika operesheni za nchi ya kiarabu, baada ya putin kutuma vikosi huko mwezi septemba 2015 , kuiunga mkono serikali ya rais wa Syria Bashar al - Assad.
Urusi ilimpatia Al-Assad, ambaye alikuwa anahofia kupinduliwa, msaada wa ndege za kijeshi na kumsaidia kumaliza vita lakini kwa kwa garama kubwa.
Chini ya amri ya Dvornikov, vikosi vya Urusi nchini Syria viliripotiwa kukabiliana na wenyeji na na kuangamiza miji kwa kupiga makombora, kutumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa yakiwemo mabomu.
Alipochukua uongozi, Dvornikov alianzisha haraka sana ngome ya majeshi ya anga karibu na mwambao wa Kusini mashariki mwa Syria na kutoka kule aliangamiza miji na jiji katika jimbo la Idlib.
 
Swali mkuu:Kwani blacks walifikaje USA?
 
China na Urusi ziliwahi kufanya biashara hio?
Kwan marekan amefanya biashara hio! Hao walikua waingereza kipind hiko wameitawala USA, nahao chini enz hizo walikua wametawaliwa na japan hawakua napesa walikua masikin kama russia
 
Hii brainwashing process huwa mnafanyiwa wapi ?

Mbona hata vijana wa Chama chakavu hapa nchini sio wapumbavu kiasi hiki.
 
Huyo wanaua, mark my word
 
so who raised mada ya kibaguzi?
Sasa mim naweza nikakwambia hakuna watu wabaguzi Duniani kama Wayahudi.
Kwa muda wako utaniuliza kwanin nimewa appoint Wayahudi
Dogo bora ukojoe ukalale, pale juu umesema Marekani inaongoza kwa ubaguzi, hujatawadha vizuri , unasema wayahudi wanaongoza kwa ubaguzi. Nakushauri ukojoe ukalale kuliko kuleta uharo hapa.
 
Kwan marekan amefanya biashara hio! Hao walikua waingereza kipind hiko wameitawala USA, nahao chini enz hizo walikua wametawaliwa na japan hawakua napesa walikua masikin kama russia
Aiseeee
 
Na masikini ni mtu anayeshindwa kubadili rasilimali alizonazo kuwa pesa, Urusi pamoja na rasilimali zote alizonazo lakini anazidiwa uchumi na South Korea.
Haaa watz buana.

Unaiita Urusi masikini lakini hapo ulipo unaugulia maumivu ya Urusi kuwa vitani.

Una sema Urusi ni maskini wakati asilimia 90 ya silaha zinazo kulinda wewe na taifa lako zina toka Urusi.

Unasema Urusi ni maskini wakati uchumi wa taifa lako ni sawa na asilimia 2 tu ya Uchumi wa Urusi.

Una sema Urusi ni maskini wakati ina tengeneza kuanzia ndege,magari,silaha za kila aina,vifaa vya Umeme, ni msambazaji wa chakula mkubwa duniani,msambazaji mkubwa wa nishati duniani tena kwa kutumia makampuni yake yenyewe, ndio msambazaji mkubwa wa mbolea duniani, wakati nchi yako hata kujenga vyoo shuleni imeshindwa.

Leo benki ya dunia imetoa tahimini ya kwamba biashara na Uchumi wa dunia utaporomoka kutokana na Urusi kuwa vitani.
Ila anatokea mla mkande mmoja kutoka ukerewe asiye jua kesho atakula nn yeye na familia yake anasema Russia ni Masikini.

Sasa tukikuita punguani tutakuwa tume kuonea?
 
Tumia akili acha kuwa mpuuz , kwa kilichomkuta Ukraine lzm majirana wengine wa Urusi watume maombi kujiunga na NATO
 
Putin anataka ku restore legacy ya Soviet..

Kwamba dunia haiwezi kusonga mbele kwa pande moja tu ya watu wa Magharibi ..kufanya hivyo kutakosa balance na ndiyo maana Putin anasimama kuzuia hilo...
Ajifunz kuish vzr na majiran zake , hili ttzo hata china analo , kila kitu ubabe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] watajipigia sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…