United states yaan zipo states 54 , aya anza kutupangia mlivyopeana majukumukiduku ameandaliwa kupiga washngtn... ndio maana marekani amekuwa mpole... huku hajui china atapiga wapi.... hahahahahahahah
Ajabu hii,una maanisha uchumi wa south Korea ni mkubwa kuliko wa urusi YOTE na ukubwa wake na teknolojia zake?Na masikini ni mtu anayeshindwa kubadili rasilimali alizonazo kuwa pesa, Urusi pamoja na rasilimali zote alizonazo lakini anazidiwa uchumi na South Korea.
Ila sisi wabongo kwa ngono hatujambo.Dah Putin ukiipiga Sweden hata mie ntaenda kujiunga na kujitolea kutetea sweden ...maana kuna warembo mle balaaa
Ila si na ukraine alikuwa anasema hivyo amebaki magofu
Safi kabisa.Nani anakaa upande wa masikini, watu wanataka kuwa karibu na matajiri, na Russia kama anataka watu wawe upande wake basi atajirike kwanza, aige mfano wa US na China.
Sema ukweli. Wameona kitisho cha mbabe Putin ndo maana wanaenda kuomba hifadhi.Nadhani Finland wameona udhaifu wa Urusi.
Na statics inaonyesha kuwa vifo vingi vya black americans vinasababishwa na black wenzao. Na ndio kundi linaloongoza kwa mauaji likifatiwa na latinMimi nlitaka kukukumbusha kuwa kigezo cha watu weusi kuuwawaπΊπΈπΊπΈ kwa kupigwa risasi isipelekee Ku genenalize kuwa hakuna nchi ya kibaguzi kama πΊπΈ.
USA watu kumiliki siraha ni swala la kawaida sana . nafikiri ni chi ambayo RAIA wake wengi wanamiliki siraha za moto .sasa katika mazingira hayo utaona kuwa swala la mauaji ni kitu ambacho hakikwepeki .
Jamaa wanauana sana hadi marais kibao wameuawa kwa kupigwa risasi na RAIA. Sema issue inakuja anapopigwa black watu mnahusisha na ubaguzi wa rangi.
Kuna mtanzania mwaka Jana kamuua black mwenzie huko
πΊπΈπΊπΈ je ulisikia kelele na maandamano kutoka kwa black wenzie?
Ni matoy..ndo maana hatujawahi kusikia wameyarusha yapige MoscowZile silaha kutoka Nchi za NATO ni ma toy ?
proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ wepesi kupaniki sana , jamaa kakuuliza π·πΊπ·πΊ ambaye ana kila kitu nchini kwake. Analisha π nzima . inakuaje uchumi wake azidiwe na south AfricaπΏπ¦πΏπ¦? ππππHaaa watz buana.
Unaiita Urusi masikini lakini hapo ulipo unaugulia maumivu ya Urusi kuwa vitani.
Una sema Urusi ni maskini wakati asilimia 90 ya silaha zinazo kulinda wewe na taifa lako zina toka Urusi.
Unasema Urusi ni maskini wakati uchumi wa taifa lako ni sawa na asilimia 2 tu ya Uchumi wa Urusi.
Una sema Urusi ni maskini wakati ina tengeneza kuanzia ndege,magari,silaha za kila aina,vifaa vya Umeme, ni msambazaji wa chakula mkubwa duniani,msambazaji mkubwa wa nishati duniani tena kwa kutumia makampuni yake yenyewe, ndio msambazaji mkubwa wa mbolea duniani, wakati nchi yako hata kujenga vyoo shuleni imeshindwa.
Leo benki ya dunia imetoa tahimini ya kwamba biashara na Uchumi wa dunia utaporomoka kutokana na Urusi kuwa vitani.
Ila anatokea mla mkande mmoja kutoka ukerewe asiye jua kesho atakula nn yeye na familia yake anasema Russia ni Masikini.
Sasa tukikuita punguani tutakuwa tume kuonea?
πππmkuu . kwa kweli humu jukwaani tunamtihani na hawa jamaa . si jui nani anawalisha sumu kuhusu πΊπΈπΊπΈπΊπΈ yaani wanachuki ya kiwango cha juu .ππππNa statics inaonyesha kuwa vifo vingi vya black americans vinasababishwa na black wenzao. Na ndio kundi linaloongoza kwa mauaji likifatiwa na latin
Ndio kwani ni uongo?Ajabu hii,una maanisha uchumi wa south Korea ni mkubwa kuliko wa urusi YOTE na ukubwa wake na teknolojia zake?
China sio tajiriNani anakaa upande wa masikini, watu wanataka kuwa karibu na matajiri, na Russia kama anataka watu wawe upande wake basi atajirike kwanza, aige mfano wa US na China.
Wewe ndio unaleta uharo. Tafuta data uone, California ndio jimbo lenye Wayahudi wengi kwa Marekani na ndilo jimbo lenye kiasi kikubwa cha ubaguzi katika US nalo utabisha?Dogo bora ukojoe ukalale, pale juu umesema Marekani inaongoza kwa ubaguzi, hujatawadha vizuri , unasema wayahudi wanaongoza kwa ubaguzi. Nakushauri ukojoe ukalale kuliko kuleta uharo hapa.
Hata mimi naamini hivyo. Hasa baada yakuona Marekani na wenzake wanaounda NATO wanaona wakiwa 30 hawamuwezi Russia, wanahangaika kutafuta nchi zingine Jirani na Urusi ili kuongeza nguvu.Yaani watu wanaamini Urusi inaweza ikapigana vita pande zote na kila mtu.
Ww jamaa ndio maana nakuita shoga maana una tabia za kukurupuka kama shoga.pro[emoji635][emoji635][emoji635] wepesi kupaniki sana , jamaa kakuuliza [emoji635][emoji635] ambaye ana kila kitu nchini kwake. Analisha [emoji288] nzima . inakuaje uchumi wake azidiwe na south Africa[emoji1221][emoji1221]? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unachotaka kusema ni nin? Marekani hakuna wayahudi au?Dogo bora ukojoe ukalale, pale juu umesema Marekani inaongoza kwa ubaguzi, hujatawadha vizuri , unasema wayahudi wanaongoza kwa ubaguzi. Nakushauri ukojoe ukalale kuliko kuleta uharo hapa.
Russia au China mtu mweusi hawezi kuruhusiwa hata kufanya kazi ya usafi kwenye choo cha stendi iwe ni Moscow au Beijing kwa sababu wanafahamu huyo sio binadamu ila ni linyani fulani tu vile. Hao siyo watu ila ni wanafiki wakubwa.Acha uzushi hv kunanchi gan nje yabara la afrika ambako mweusi anaheshimika kama US japo mapungufu yapo, wamefikia had kutoa rais mweny asil yaweusi, wapo mastaa kibao kwenye nyanja mbalmbal niblacks hii huwez kuikuta popote huko urussi, china, india au uarabun