greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Kwani wewe kamanda, mkataba wa lile lipagala la pale ufipa ulishawai kuona[emoji23][emoji23][emoji23] wasaliti .Mmebaki na propaganda uchwara tu hamna jipya!!Kuna wasaliti zaidi ya wanaiongiza nchi katika mikataba ya siri kwa manufaa yao?!
Mkichezea uchaguzi tutakunya getini ikuluHakuna kitu hapo, hiyo anawachezea chadema akili, vinginevyo asingezunguka hivyo.
Unahamisha magoli baada ya kukosa hoja!!Kwani wewe kamanda, mkataba wa lile lipagala la pale ufipa ulishawai kuona[emoji23][emoji23][emoji23] wasaliti .
Huko ndiko nchi yetu inakotembeza bakuli, hivyo mwenye hela lazima atoe Kwa taratibu aliyojiwekea mfano kuipa nchi inayoheshimu democrasia na haki za binadamu. Upo dona kantri?.Mbona nchi nyingine hazisemi au ubalozi ulioko Tanzania ni wa Marekani tu, shyenzy kabisa
Unatukana huku kila siku mnategemea misaada kutoka kwa hao hao.Ungekuwa na hoja kama misaada tungekuwa tumeikataa miaka 59 baada ya uhuru.MATAGA hamna akili kabisa!
Miaka 59 watu bado wanaishi kwenye nyumba za nyasi alafu bado wanajiona wanaweza leta mabadiliko ndani ya miaka mitano,ni mjinga tu ndo anayeweza kuwaamini CCMUnatukana huku kila siku mnategemea misaada kutoka kwa hao hao.Ungekuwa na hoja kama misaada tungekuwa tumeikataa miaka 59 baada ya uhuru.MATAGA hamna akili kabisa!
ARV utazitoa wapi,au mtaenda tena kwa babu Wa loliondo we na jamaa yako stone.Nani anaililia
Wataenda kuchukua mitishamba ya madagascar 🤣🤣🤣ARV utazitoa wapi,au mtaenda tena kwa babu Wa loliondo we na jamaa yako stone.
unadhani yakifanyika hayo ndio utamkomoa Magufuli na Mambo ndio yataenda sawa... Swala hapa ni maridhiano ya kitaifaKateni misaada na mikopo vinginevyo mambo haya kamwe hayatakoma.
Sijui kwanini nchi wahisani wanashindwa kuweka shariti la kutoa misaada na mikopo kuwa ni lazima nchi husika iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na makundi yote.
Watawala hawataki maridhiano na wapinzani sasa majadiliano yatafanyikaje?unadhani yakifanyika hayo ndio utamkomoa Magufuli na Mambo ndio yataenda sawa... Swala hapa ni maridhiano ya kitaifa
Kabla hiyo miaka 5 haijaisha,ipo siku, panapo majaliwa,utakuja hapa kulalamika kwanini Magu alipita tena iwapo atapita kama unavyotaka.
Ulitaka aseme mara ngapi, huo ndio upimbi wenyewe. Wewe endeleza ukasuku wako lakini kwa JPM wamegonga mwamba.Hayo yangesemwa na Magufuli watu wangeelewa ni kwa kuwa hajui lughà kama wewe aliyotumia Balozi bali yangekuwa si maneno ya kupuuza kwa kuwa ni Rais lakini yakisemwa na vilaza wa bure elimu ya Magufuli hata Balozi apuuze tu maana bado mgeni ataona na kusikia mengi.
Wewe pekee ndio unafahamu mikataba ya siri? Ujinga mtupu!Mmebaki na propaganda uchwara tu hamna jipya!!Kuna wasaliti zaidi ya wanaiongiza nchi katika mikataba ya siri kwa manufaa yao?!
Daydreamer.Balozi anazidi kunogesha mwisho wa CCM
Polisi wankamate balozi afafanue msimamo wake anaegemea nje ya mfumoDaydreamer.
Hama nchiKateni misaada na mikopo vinginevyo mambo haya kamwe hayatakoma.
Sijui kwanini nchi wahisani wanashindwa kuweka shariti la kutoa misaada na mikopo kuwa ni lazima nchi husika iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na makundi yote.
Ningekuwa na ushawishi, ningeanzisha movement ya kuzitaka nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa kuweka shariti kwamba, kila nchi inayotaka msaada au mkopo, ni shariti nchi hiyo iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na wadau wote wa uchaguzi katika nchi hiyo.
Au kama hili gumu,basi movement yangu nyingine ingekuwa ni kuzishawishi nchi hizi kuweka shariti linaloweza kuwa kama incentive ambapo nchi yenye kuonyesha demokrasia ya kweli, kwa kuwa na Tume Huru na Katiba inayokubalika na makundi yote katika nchi, inakuwa ni moja ya kigezo kwa nchi husika kupunguziwa au kufutiwa madeni.
Jitihada za nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa za kuondoa umasikini katika mataifa yanayoendelea, hasa Afrika, haziwezi kufanikiwa iwapo katika nchi hizi hakuna demokrasia ya kweli, hivyo kuna ulazima wa kulazimisha nchi hizi kuwa na demokrasia vinginevyo maendeleo yatachukuwa muda mrefu kufikiwa katika nchi hizi.
Demokrasia ya kweli inafanya watawala wawajibike kwa watu wao na nchi zao na hivyo kuwezesha maendeleo kupatikana kwa haraka zaidi.