Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Wataishia kutoa vipeperushi tu ,wale vibaraka wao waliowatuma kuja kugombea Tanzania hawapati kitu

Tanzania haigusiki
 
Hakuna kitu hapo, hyo anawachezea maslow thinking chadema akili, vinginevyo asingezunguka hivyo, ...
Kwa ww mvivu wa kusoma ndio unaona amezunguka. Hapo kila neno linasimama na uzito wake!!!!
 
We mtoto wa tandale,ungeishi kule usingemshabikia jiwe matendo yake ya kinauncivilized utadhani akupita skull
Nimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
 
Nimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
Aliyeishi USA apingani na demokrasia na si muumini wa udikteta, udikteta uleta Vita afrika
 
Tanzania is safe and will conduct free and fair election as always.
 
Kwenye wewe weka mimi
Nakuona ulivyo na ID nyingi😁😁😁

Nimekupuuza rasmi baada ya kugundua wewe sio mjinga maana mjinga anaelimika ila mpumbavu ni ulemavu
Endelea kusubiri amerika waje wakupe maisha bora
Hazikusaidii hizo pambana na maisha yako, mmarekani anapambana na maisha yake
We mtoto wa tandale,ungeishi kule usingemshabikia jiwe matendo yake ya kinauncivilized utadhani akupita skull
 
Mnachaguxi mbili umsindikize jiwe chattotown au the Hague,lzm tuikomboe nchi yetu sio Mali ya jiwe na wapwa zake
Jikomboe kwanza mwenyewe huo ufahamu wako kabla hujasema unaikomboa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…