Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Balozi asiwe na wasi wasi! Huyu mbelgiji atapigwa kihalali kabisa.
 
Akili zenu zimegota kwenye misaada tu.

Ndio maana Lisu kwa akili yake anaona tz haiwezi kuishi bila wazungu.
 
Kuanzia tarehe 28,29,30 na kuendelea

Mungu ibariki Tanzania
 
He should be concerned with how wealthy Nation like USA failed to control the outbreak of Covid 19...I f I were HIM I would have asked JPM to give me some notes on how he managed to prevent Million of Tanzanians from this deadly virus.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Magufuli kiboko yao. Kilimanjaro imekuwa nyeupe tayari kwa kuvunwa kura za kijani tupu. Sio Same, Mwanga, Rombo, Moshi mjini, Siha, Hai kote kumetepeta ndembendembe. Saccos ya mjasiriamali hawaamini kilichotokea, asante Sana JPM. Burudaniii
 
Us balozi anasema " Tumeona vulugu za kisiasa, vizingiti na kubanwa kwa vyombo vya habari na mchakato wa uhidhinishaji wa wagombea (kuenguliwa) ambao kwa muonekano wake kwa ujumla, umekipa manufaa chama tawala. Tayari tunasikia taarifa kuwa maofisa wa uchaguzi wanawakatalia waangalizi/mawakala wa vituo kufanya kazi zao. Kwa pamoja, mambo hapa yanatoa picha mchakato wa uchaguxi ambao hautoi uwanja sawia wa uchaguzi" hawana pakutokea mwaka huu
 
Get prepared this year. It’s either you turn this country to Zimbabwe or you allow democracy to prevail
 
Ccm hawatoki mwaka huu nakwambia. It’s do or die
 
Get prepared this year. It’s either you turn this country to Zimbabwe or you allow democracy to prevail
Upunguze kujitisha, ina madhara mengi kiafya na umri wako mdogo utapata tabu sana😁😁😁
 
Magufuli kiboko yao. Kilimanjaro imekuwa nyeupe tayari kwa kuvunwa kura za kijani tupu. Sio Same, Mwanga, Rombo, Moshi mjini, Siha, Hai kote kumetepeta ndembendembe. Saccos ya mjasiriamali hawaamini kilichotokea, asante Sana JPM. Burudaniii
Kilimanjaro hii iliyoanza kustaariba Tanzania au ipi??? Unaijua Kilimanjaro unahadithiwa wewe???
 
Hatudanganyiki ng'oo. Hatuna nafasi na mawakala wa mashoga na wasagaji. Imekula kwenu mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…