Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Ni vizuri Serikali ikawahi kuwapiga stop wapambe wasianze matusi, hawa jamaa sio wajinga wana informers wao kila sehemu na wanajuwa kila kitu. Dalili mbaya za nchi yoyote, ukiona mabalozi wanaondoka ujuwe hali mbaya ukiona balozi wa USA anaongea haya ujuwe kuna kitu anajuwa na anataka. sasa tusijifanye tukaanza sisi hatuwategemi, sisi mbona hatuwaingilii, sisi nchi huru, ukweli sisi bado ni tegemezi kubwa sana tu wanasilaha nyingi za kutubana kidogo kidogo mpaka unapiga magoti mwenyewe. wakisema tu kampuni hakuna kufanya biashara na Tz tumeisha hapo hata zile kampuni za nchi zingine wanao trade Newyork stock exchange wanakuwa sehemu yao. Serikali wao tu wajibu bila hamaki kwa lugha za kidiplomasia no panic.
 
Ni vizuri sana kama USA wanafuatilia mwenendo wa uchaguzi kwani ccm wanafanya vibaya sana kuingilia uhuru wa Tume ya Uchaguzi.
 
Nchi ipo kwenye kipindi kigumu kiusalama,leo nimeona wanajeshi zaidi wakisafirishwa kwenda makao makuu,na mipakani,police hawalali,mgambo na jkt wanapewa mafunzo maalum

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app

Kwa kuzingatia haki tu nchi yote ingepona. Ingekuwa mwisho wa matatizo. Uchaguzi ungepita salama na kwa gharama nafuu katika pesa na hata maisha ya watu.
 
Hivi amemshauri Trump kuhusu wizi wa kura akisaidiana na warusi #blacklivesmatter
At least in United States people can demonstrate for #blacklives
In Tanzania black lives doesn't matter
Every day our people get killed by 'watu wasiojulijana'
 
Tatizo Ccm ni wajinga ila wanajifanyaga werevu. Sasa mwaka huu ndo watajua hawajui dadeki. Yaani unamchezea sharubu marekani??? Watakoma
 
This is just a piece of an incosequential writing.

Kama issue ni hiyo $7.5B au $540M hatukuwashikia bunduki watupe ni kiherehere chao tu.

Nchi haipokea hisani kutoka kwao pekee lakini mbona wengine wametuliza mishono!

Our sovereignty comes first,nchi hii pia imetoa mchango wake mkubwa tu huko Kusini mwa Africa lakini hatujawahi kupeleka pua yetu huko.

Uchaguzi uwe huru au usiwe it's none of his fvcking business.

Mr Ambassador,uhuru wetu hatubadilishani na $!
 
Hii siyo njia mbadala.
 
Marekani huwa hawamung'unyi maneno.
 
Si uanzishe tu roho mbaya tu nyie ndo wale wake mliokunywa uji wa mgonjwa
 
Mtu akikupa ushauri wa bure, ustaarabu ni kusema tumesikia!
 
Hangaika na barabara ya Benaco wewe

Wewe ndiye yule tanroads mwenye STL 77**.

Kumbe sindano za ile barabara zinawaingia vyema.

Tutakaba kote benaco nchale, ubalozi wa marekani nchale, na hata mkibong'oa nchale!

Mamburula nyie!
 
Two major problems with respect to whatever is said by the US embassy:
1. Some Africans see such messages as dishonest respect to Africa where no single former slave traders had ever officially regretted being involved in that noxious activity. Africans still see the US as a state with a lot of inhumane lust unfortunately, the US internal failure to respect African Americans rights cements this argument.

2. Opposition parties in Tanzania misinterpret such similar statements in their favour. Anything said is considered of a positive use for their campaign to power whilst, they are underqualified for leadership.
 
Calling for free, fair, and credible elections is not meddling in Tanzania’s politics, it is simply standing up for the simple yet fundamental aspiration shared by all people, Americans and Tanzanians alike: to have their voices heard, especially when it comes to choosing who will lead and represent them. THANK YOU MR AMBASSADOR.
 
"Election officials can go far in restoring faith in the electoral process by ensuring that polling station results are posted publicly, that all party polling agents are sworn in, given access to polling stations and tallying centers nationwide on election day, and provided copies of tallying sheets at the end of the ballot count".

=============
Tafsiri kwa Maccm yasiyojua Lugha
=============

Maafisa wa Uchaguzi( Tume) wanaweza kwenda mbali kwa kurejesha imani katika mchakato wa uchaguzi kwa kuhakikisha matokeo ya vituo vya kupigia kura yanawekwa hadharani, kwamba mawakala wa vyama vyote vya siasa wanaapishwa, wanapewa fursa ya kuingia kwenye vituo vya kupigia kura na vya kujumlishia kura nchi nzima katika siku ya uchaguzi, na wanapewa nakala ya matokeo yaliyojumlishwa na kutangazwa.
 
Mtu akikupa ushauri wa bure, ustaarabu ni kusema tumesikia!
Ustaarabu?

Kuficha hisia ni unafiki.

Mwambie balozi wa nchi yako atoe ushauri wa bure kwa USA halafu uone kama hajaonekana JNIA kama yalivyomkuta Darroch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…