Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility


najua kabisa we ni mtetezi wa lissu, ila umeongea point nzuri! but i still wanna see magufuli in office 5 more years
 
 

Attachments

  • 1603378518539.png
    7.5 KB · Views: 1
najua kabisa we ni mtetezi wa lissu, ila umeongea point nzuri! but i still wanna see magufuli in office 5 more years
Kabla hiyo miaka 5 haijaisha,ipo siku, panapo majaliwa,utakuja hapa kulalamika kwanini Magu alipita tena iwapo atapita kama unavyotaka.
 
Hapa ndipo chama cha kijani hawatokubali manake hawataki fairness
 
When you say that opposition leaders are under qualified for leadership, bear in mind that ccm candidate have refused to participate in a debate which would be a perfect yardstick to prove suitability of candidates. On that platform, moderators/facilitators would cross-examine the candidates and the audience/public would have a chance to see them narrate on national issues. It's very unfortunate that we missed that opportunity due to the cowardnes of ccm candidate. Hence he is the underqualified one.
 
Marekani huwa hawamung'unyi maneno.U

Thank you for what? For saying what they (US) can't entertain to be done in their country! Nowadays, I am extra careful not to invite Lucifer to start pleaching for heavenly life whilst he knows better devilish life.
 
Ccm wanaziba masikio wanataka tuwekewe vikwazo
 
Nina mashaka kama post umeisoma yote na kuielewa.
 
Boss, we are not here to emulate whatever practiced in the US. Us have debates as part of their presidential campaigns. We are not! Should we do it just to show our congruence to the Americans? Which voter in this country has no follow-up paragraphs of all the candidates? Magufuli? Lissu? Mtamwega? Rungwe? They are the same people we have known for the past 20 years.
 
Sana mkuu sioni pakutokea tunaenda kuwa Zimbabwe
Ni lazima giza lije ili nuru ionekane,hawa watawala wetu wanafikiri wanatawala mbuzi na siyo watu-Sanctions mwaka huu ni guarantee,na vikitokea tutaelewana Lugha watu wote
 
Mna wasiwasi mapandikizi yenu yatashindwa.

Kwa kifupi ndio yameshashindwa! Tena mtulie kabisa watanzania wanajua wanachokitaka

Hatupangiwi
 
Sana mkuu sioni pakutokea tunaenda kuwa Zimbabwe
Mbona hamjitahidi kusoma matukio ya Dunia? Je, una elimu gani boss? Ili uielewe western world soma uelewe kwa nini Zimabwe haikuwekewa vikwazo kwa mauaji ya Matabeleland. Vikwazo vimekuja kwa sababu ya Mashamba ya wazungu.
 
Sana mkuu sioni pakutokea tunaenda kuwa Zimbabwe
Watawala wetu wanajiona wao wana mamlaka na mioyo yetu. Haiwezekani kbs kinachofanyika tunaonekana wote mbuzi ww subiri tuuumie. Maana ukimsikiliza JPM hotuba zake za kampeni utadhani hii nchi ilikuwa chini ya mpinzani. Ukweli kbs kura yangu ni TAL acha liwe
 
We kwa akili yako unadhani mmarekani au mtu wa ulaya ana interest na raia wa nchi yako kana kwamba hizi tantalila za "free and fair elections" zina lengo la dhati la kumletea maendeleo mwananchi wa kiafrika?

Kama ingekuwa hivyo wamarekani hawa wasingeitumia CIA yao kumuua Patrice Lumumba na badala yake wakampandikiza Mobutu Sesseseko. Ni hivi kwa kila dola moja marekani anayokupatia kama msaada anahakikisha anapata dola 100 kutoka kwenye nchi yako. Mahoteli ya kifahari waliyoyawekeza kwenye mbuga za wanyama yasiyolipa kodi stahili, migodi yao ya madini, na uwekezaji kibao mwingine mwingi, hivyo usije hata siku moja ukafikiri nchi hii ikikosa misaada ya wamerakani na wengineo atakayepoteza ni sisi wenyewe tu. Tukigeuza kibao (kama alivyowadindia kiaina mzee baba kwenye inshu ya Acacia) watapoteza sana wao kama na sisi tutakavyopoteza.

Incentive ya kuwa na free and fair election haipaswi kufungamanishwa na misaada ya wahisani. Tulipotaka kujitawala baada ya ukoloni maana yake ilikuwa pia kujiandalia mazingira bora ya kuhakikisha kwamba sauti zetu kupitia kura zinahesabiwa na kusikika. Kama itatubidi tupambane na kumwaga damu kuhakikisha hakuna hata kura yetu inaibiwa tufanye hivyo sisi wenyewe, kwa utashi wetu, bila kuingiza mmarekani au mulaya na mambo yao.

Hii ni nchi yetu wenyewe, hatuna mjomba wa shangazi marekani, ulaya wala uchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…