Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Rushwa ya Boeing alipokea kutokea Boeing Africa Office iliyopo Sandton South Africa. Aliyekabidhi mzigo yupo hai na aliyepokea kwa niaba ya magufuli bado yuko Serikali I ila kwa sasa ni Balozi.Yaani Rais akabembeleze rushwa kutoka Boeing? Unajielewa wewe? Tena Rais kama Magufuli ambaye amekaa kwenye ujenzi miaka 20 na pia aliamua kutumia mamlaka ya Rais kikamilifu kama Nyerere.
Rais akiamua kuchota pesa za Hazina anachota tu. Waziri wa Fedha mwenyewe tu anazichota akiamua, sembuse Rais.