Stupid Kenyan..very stupid and idiot indeed...Rostam siyo Mhindi...look at him closely..hatoki India na Wala baba na mama yake siyo wahindi...ni Mtanzania was kijijini ila asili yake siwezi kukutajia...Sasa. Huyu mtu anakaa Asian anasema nini mbele ya waaafrika weusi.
Takataka rudi india.
Wakenya ni wapumbavu hakuna Cha afadhali hapoWewe ndio mpumbavu mimi nina uzoefu nimewahi kuajiriwa na Wakenya Uchumi supermarket kama supervisor na salary ndio hizi hizi za serikali na mikataba yote kama kawaida.
Acha kuhemka wewe,wahindi wanavyowafanya ndugu zako huko viwandani bora mara mia Kenyans
Wewe utakuwa ni mkenya au msalitiAchana na Huyo mjinga... Mm ni mfanya biashara wa mazao Kenya tunawahitaji zaidi ya chochote kile, hao wanaosema nyie ndiyo mnaotuhitaji ni watoto wasio jua maisha ni kitu gani
Naona bado una machungu kwa mambo yaliyofanyika zamani. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.Wewe sijui Tony254 hujui kitu kabisa kuhusu uhusiano wa TZ na Kenya ...uhusiano mbaya Kati ya TZ haujaanza Leo ni tangu miaka ya 1960 na 70..kumbuka pale EAC ilipovunjika 1977 Kenya ilifurahi mno..wakateka karibu ndege zote za jumuiya..pilot mtanzania akafanikiwa kutorosha ndege moja tu..Kenya Airways mtaji wake mkubwa ni ndege zilizoporwa na Kenya...meli kwenye lake Victoria mkageuza hoteli..stupid Kenyans...Mpaka ukafungwa magari ya KENATCO yakazuiwa kuja Tanzania..in fact uhusiano wa TZ na Kenya haujawahi kuwa mzuri tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli..na hata kwa Samia uhusiano hauwezi kuwa mzuri..Kenya inataka ku-dominate kiuchumi Jambo ambalo TZ haiwezi kukubali...TZ ikitaka kuja kuwekeza kwenye media Kenya haiwezi kukubali lakini Kenya imewekeza TZ kwenye media Kama magazeyi ya Mwananchi, the Citizen na Mwanaspoti..urafiki Kati ya TZ na Kenya siku zote ni wa mashaka na utaendelea kuwa hivyo vizazi na vizazi
Hapa hakuna kuganga yajayo...50-50 win situation ndiyo solution..Naona bado una machungu kwa mambo yaliyofanyika zamani. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Hahaha. Na sasa kama nyinyi mna investors wachache wanaoweza kuinvest Kenya, basi itafika 50-50 lini? Kenya itazidi kudominate market ya TZ na nyinyi mtashindwa kudominate market ya Kenya.Hapa hakuna kuganga yajayo...50-50 win situation ndiyo solution..
Wacha wazim nyie hamna cha investors wakali kuzidi Tz mko na mafukara plus middlemen...Uyo Rostam alisha tambuliwa na Fobs kama dollar billionaire ila akashuka....mind you apo nyuma ya hao tupo wengi snaaaHahaha. Na sasa kama nyinyi mna investors wachache wanaoweza kuinvest Kenya, basi itafika 50-50 lini? Kenya itazidi kudominate market ya TZ na nyinyi mtashindwa kudominate market ya Kenya.
Katika hayo makampuni makubwa ni yale foreign ambayo subsidiary zake zime-invest Tanzania kama EA Brew, Unilevel na many of flower firms! Hamna hata moja la kizawa la Kenya lililo na muscles ya ku-invest over $100 mln!Hahaha. Na sasa kama nyinyi mna investors wachache wanaoweza kuinvest Kenya, basi itafika 50-50 lini? Kenya itazidi kudominate market ya TZ na nyinyi mtashindwa kudominate market ya Kenya.
We will look for other investorsHahaha. Na sasa kama nyinyi mna investors wachache wanaoweza kuinvest Kenya, basi itafika 50-50 lini? Kenya itazidi kudominate market ya TZ na nyinyi mtashindwa kudominate market ya Kenya.
Mlango umefunguliwa. Wacha tuone kama mna nguvu ya kuinvest Kenya. Mumepewa rukhsa ya kuinvest Kenya sasa wacha tuone kitakachofanyika.Wacha wazim nyie hamna cha investors wakali kuzidi Tz mko na mafukara plus middlemen...Uyo Rostam alisha tambuliwa na Fobs kama dollar billionaire ila akashuka....mind you apo nyuma ya hao tupo wengi snaaa
Wapuuzi wameshamwingiza mkenge kwa faida ya matumbo yao...wetu ni muda.Hopefully SSH is smart enough kujua ana deal na wanafiki wa daraja la juu Africa, vinginevyo anarudisha matatizo ambayo yalikwisha tatuliwa na JPM.
Huyu amekuwa list ya dollar billionaires at forbes mara kadhaa, Kenya has not produced even one! His divesting from Vodacom alone wos over $500 mln! Most of engineering works at mining sites r under his company and the coming EACOP u will hear plenty about him as no any other indigenous company in EA has more experience in such undertakings! Just google Caspian Tanzania! Ticts, African Tanneries (Morogoro National Tannery factory), Taifa gas (Tanzania and Ugand) and Sandvik group Tanzania r his among many! There was a time he was one of the owners of Rift valley railway under Mirambo holdings before SGR came and its subsequent disband of the group of ownership.Halafu uache ujinga wa kuita kila mtu dollar billionaire. Tanzania mna dollar billionaire mmoja tu kwa jina la Mo Dewji. Ficha upumbavu wako wa kuita kila mtu Dollar billionaire. Huyo Rostam sio dollar billionaire.
tatizo lenu no unafiki tu,wala sio jingine.Matatizo gani? Hebu fafanua.
Ukilaza wako umepitiliza kiwango jombaaHii ndio point kuu maana wakija huku sisi ndio tunanufaika,yakitoka ananufaika mfanyabiashara binafsi na watu wa nchi alikoenda kuwekeza unless huo uwekezaji wake uwe unatumia rasilimali au malighafi ya Tzn kinyume chake hiyo ni mambo binafsi ya Rostam wakazinguana na mfanyabiashara mwenzie Kenyatta
Rukhusa ya kinafiki,sisi tunawajua ninyi sio wageni kwetu...pombe ndo alikuwa president huyu mama anatuzingua,akina kikwete na genge lake akina rostam wanamtumia kwa maslahi yao..damnMlango umefunguliwa. Wacha tuone kama mna nguvu ya kuinvest Kenya. Mumepewa rukhsa ya kuinvest Kenya sasa wacha tuone kitakachofanyika.
Mbona watanzania mnaiogopa kenya sanaRukhusa ya kinafiki,sisi tunawajua ninyi sio wageni kwetu...pombe ndo alikuwa president huyu mama anatuzingua,akina kikwete na genge lake akina rostam wanamtumia kwa maslahi yao..damn
Kama huwezi ushindani wa kibiashara wacha wakenya wavune.. Endeleeni tu kulala...Wewe utakuwa ni mkenya au msaliti
Wewe una nani chief?Kheee.
Yaani unajiita mwekezaji kisa tu gunia mia za mahindi?
Hatuwaogopi...ila kuna namna ya ku-deal na failed states..Mbona watanzania mnaiogopa kenya sana
Sema sisi wa Tanzania ni wazembe tu, kubali tu, hakuna cha factor wala nn, wa Kenya wanajua kuchangamkia fursa..Tunaposema wanatuitaji zaidi....hatuangalii factor moja tu...mahindi...nope....tunaconsider many factors kaka na si mahindi tu....