Wakija huko kwenu Mnanufaikaje?Hii ndio point kuu maana wakija huku sisi ndio tunanufaika,yakitoka ananufaika mfanyabiashara binafsi na watu wa nchi alikoenda kuwekeza unless huo uwekezaji wake uwe unatumia rasilimali au malighafi ya Tzn kinyume chake hiyo ni mambo binafsi ya Rostam wakazinguana na mfanyabiashara mwenzie Kenyatta
Racism will never end in kenya. This guy is a Tanzanian by birth , coming from Igunga Tabora . Tanzania has many citizens of diff ethnics.Sasa. Huyu mtu anakaa Asian anasema nini mbele ya waaafrika weusi.
Takataka rudi india.
Huwa nashindwa kuelewa wakina Sarungi, Karume na company wanataka nn haswa? Madaraka ama?
Huyu jamaa anatukera huku tweeter. Hebu njooni mtusaidie. Kaniudhi balaa.
Sina kitu mkuuWewe una nani chief?
Nyie mnaiogopa kenya sana[emoji23]Hatuwaogopi...ila kuna namna ya ku-deal na failed states..
Na pombe ndo aliijua hiyo namna,mama bado sijamsoma
Mshamba tu huyo nimemsoma. Nikama wameona wivu flani hivi. Wakenya bwana hawa watu wana aina flani hivi ya kudeal nao ili mwende sawa.
Huyu jamaa anatukera huku tweeter. Hebu njooni mtusaidie. Kaniudhi balaa.
Nasikitika kuona hoja za kijinga kabisa zinatoka kwa watu wanaojitapa ni wasomi kuliko taifa lolote E.Africa.Na sasa mbona wahindi wenu wanalia machozi kwamba wanataka Kenya ifungue market yake?
Ni wapuuzi wanajiita wanaharakati...ukikaa na ku wa digest unaona kabisa ni kikundi kiko funded na makundi fulani ya kiovu yasikuwa na nia na ustawi wa Nchi.Huwa nashindwa kuelewa wakina Sarungi, Karume na company wanataka nn haswa? Madaraka ama?
Wanaokubali hizo ni watu wa chadema,wajinga flani hivi ambao hawawajui kiundani kama kweli mngekuwa wajanja kama wanavyosema mngekuwa mbali sana afrika,lakini matokeo yake mpo tu kama waafrika wengine walivyoNyie mnaiogopa kenya sana[emoji23]
Yani kila sehemu watz wanasena tumekwishaa, hapo inadhirisha kabisa mnajua ya kwamba tumewazidi ujanja na IQ..
Yani wanaume wazima wamekubali ya kwamba kenya ina uwezo ya kuwazidi tz linapokuja swala la ujanja wa deals..
Obsession,mtu ameshakufa bado unamshambulia,chunga sana unaeza kupata blood pressureIla kwa jinsi Magufuli alivyokuwa akiichukia Kenya,
Sasa na wewe umekuja kujibu km Mataga sio[emoji23][emoji23]Wanaokubali hizo ni watu wa chadema,wajinga flani hivi ambao hawawajui kiundani kama kweli mngekuwa wajanja kama wanavyosema mngekuwa mbali sana afrika,lakini matokeo yake mpo tu kama waafrika wengine walivyo
Unajua hata zama tuliaminishwa kwamba wakenya mna elimu bora na mmeelimika sana,kumbe baada ya kuwajua yaani wakenya wengi ni vilaza waliopindukia,ni wajinga flani tu wachache wanapenda kuwasifia pasipo kuwajua vizuri
Wanadhani Tanzania ni somalia. TZ ni hatari my friend. Usione ukimya wao wakathani ni mbumbu. Tayari wameanza kuhuza kunawa yao nje badala ya kupeleka Mombasa na chai. Na sasa wanatafuta njia ya kuachia kupeleka maparachichi Nairobi. Ngozi na nyama pia. Maua ya Arusha na iringa. JPM alikuwa na Mpango wa kununua Ndege ya mizigoWewe unajua relationship kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa mbovu mno. Ilikuwa relationship ya kufanyiana madharau na tit for tat. Sasa honestly ulikuwa unaexpect vipi Kenya tuwapokee kwa mikono miwili ilhali uhusiano kati yetu ni mbovu? Wacha tuone kama mama atafaulu kuunda uhusiano kati yetu.
Ikiwa tutakuwa marafiki wa kweli na sio marafiki feki basi mtapata fursa nyingi sana hapa Kenya. Kenya ina a big internal market na purchasing power ya Wakenya ipo juu ukicompare na nchi za East Africa.
Uhusiano ukiwa sawa kati yetu basi pia wanabiashara wa pande zote mbili watapiga pesa ndefu. Ila kwa jinsi Magufuli alivyokuwa akiichukia Kenya, huyo mfanyibiashara wenu hangeruhusiwa kufanya biashara huku.
Acha ujinga.Stupid Kenyan..very stupid and idiot indeed...Rostam siyo Mhindi...look at him closely..hatoki India na Wala baba na mama yake siyo wahindi...ni Mtanzania was kijijini ila asili yake siwezi kukutajia...
Wewe ndiye mjinga, mshenzi na mpumbavu..nimekwambia Rostam siyo mhindi .na hajawahi kuwa mhindi na Wala asili siyo Asia...kwa kuwa umeng'ang'ania suala hili inawezekana wazazi wako wewe ni wahindi au wanatoka Asia..stupid guy...Acha ujinga.
Kwa akili yako mwafrika mgani anakaa Asian.?
Huwa mnatetea Kila ujinga tu.
Ana kila sifa ya kuwa Mtanzania tena Mnyamwezi wa asili ya Baloch toka Iran, Sagari clan! He is the 5th generation of Aziz family in Tanzania since 1850. Anaongea Kiswahili kizuri kuliko most Kenyans. Anaongea Kinyamwezi pia! Sina uhakika kama anaongea Kishirazi(Persian)!Acha ujinga.
Kwa akili yako mwafrika mgani anakaa Asian.?
Huwa mnatetea Kila ujinga tu.