Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya mataifa mengi kukimbilia Deal hilo kwani ni badhaa huwa bei rahisi. Hata ukali wa bei ya mafuta TZ itapungua kama tukilifuata hilo Deal.
Nchi nyingi zinazofanya biasahara nyingi na nchi katika mabara mengine nje ya Ulaya na Marekani nao wameonyesha nia ya kuuza bidhaa zao kwa pesa yao. CHINA nayo inataka kuuza bidhaa zao kwa YUAN na waturuki nao kwa pesa yao kwa zile nchi zitazohitaji kufanya hivyo. Kwa vile Afrika Bidhaa zetu nyingi hutoka China, Tutahitajika kuwa na YUAN tu kununua bidhaa kwao.
Hivyo China, Urusi na Uturuki ambazo huuza bidhaa zao nyingi Afrika na Asia, pande zote zitafaidika sana kufanya biashara kwa mtindo huo.
Mpango huu utaishusha thamani ya Dola na Euro na kwa upande mwingine wafaidika ni Urusi, China, Uturuki, Afrika na Asia. Mchezo bado mbichi huku nikimuona Trump kurudi madaraka uchaguzi ujao.