let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Mmmh. Ngoja nikae kimya.Imefanyaje ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh. Ngoja nikae kimya.Imefanyaje ?!
With due respect, naomba kumuombea msamaha mtoa post.
Kabla ya Vita,Thamani ya Ruble ilikuwa Ruble 73 kwa 1 $. Leo hii Ruble ipo 83 kwa 1$. Hii ni Licha ya Serikali ya Urusi kupiga marufuku Masoko yote ya Forex nchini Urusi,Bank Kuu TU Ya Urusi ndio inaruhusiwa kufanya Hizo Exchanges. Thamani ya Ruble utakuja kuiona siku Serikali ikiruhusu Miamala isiyo ya kikomo ya fedha za kigeni KWENDA nje.Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya mataifa mengi kukimbilia Deal hilo kwani ni badhaa huwa bei rahisi. Hata ukali wa bei ya mafuta TZ itapungua kama tukilifuata hilo Deal.
Nchi nyingi zinazofanya biasahara nyingi na nchi katika mabara mengine nje ya Ulaya na Marekani nao wameonyesha nia ya kuuza bidhaa zao kwa pesa yao. CHINA nayo inataka kuuza bidhaa zao kwa YUAN na waturuki nao kwa pesa yao kwa zile nchi zitazohitaji kufanya hivyo. Kwa vile Afrika Bidhaa zetu nyingi hutoka China, Tutahitajika kuwa na YUAN tu kununua bidhaa kwao.
Hivyo China, Urusi na Uturuki ambazo huuza bidhaa zao nyingi Afrika na Asia, pande zote zitafaidika sana kufanya biashara kwa mtindo huo.
Mpango huu utaishusha thamani ya Dola na Euro na kwa upande mwingine wafaidika ni Urusi, China, Uturuki, Afrika na Asia. Mchezo bado mbichi huku nikimuona Trump kurudi madaraka uchaguzi ujao.
Sasa mtaalamu huu ndio wakati wa kututoa gizani sisi tuliobakia njia panda kwenye mada hii japo kwa juu juu tu......Tatizo huna uelewa kabisa wa masuala ya currency.
Tafuta mtu anayeelewa akueleweshe mambo yafuatayo:
Gold money
Paper money
Debts money
Ulichokieleza hakina uhusiano na kusambaratika au kuimarika kwa currency.
Kabla ya vita ilikuwa rubles 79 kwa one dollar.Kabla ya Vita,Thamani ya Ruble ilikuwa Ruble 73 kwa 1 $. Leo hii Ruble ipo 83 kwa 1$. Hii ni Licha ya Serikali ya Urusi kupiga marufuku Masoko yote ya Forex nchini Urusi,Bank Kuu TU Ya Urusi ndio inaruhusiwa kufanya Hizo Exchanges. Thamani ya Ruble utakuja kuiona siku Serikali ikiruhusu Miamala isiyo ya kikomo ya fedha za kigeni KWENDA nje.
Dollar inaweza kuanguka lakisi sio kwa kususiwa,Uwekezaji wa Kichina wa Silk and Road Initiative (SRI) Duniani kote ndio njia pekee ya kuichallege Dollar after 30 years.
USA iko imara na Hela yao..Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya mataifa mengi kukimbilia Deal hilo kwani ni badhaa huwa bei rahisi. Hata ukali wa bei ya mafuta TZ itapungua kama tukilifuata hilo Deal.
Nchi nyingi zinazofanya biasahara nyingi na nchi katika mabara mengine nje ya Ulaya na Marekani nao wameonyesha nia ya kuuza bidhaa zao kwa pesa yao. CHINA nayo inataka kuuza bidhaa zao kwa YUAN na waturuki nao kwa pesa yao kwa zile nchi zitazohitaji kufanya hivyo. Kwa vile Afrika Bidhaa zetu nyingi hutoka China, Tutahitajika kuwa na YUAN tu kununua bidhaa kwao.
Hivyo China, Urusi na Uturuki ambazo huuza bidhaa zao nyingi Afrika na Asia, pande zote zitafaidika sana kufanya biashara kwa mtindo huo.
Mpango huu utaishusha thamani ya Dola na Euro na kwa upande mwingine wafaidika ni Urusi, China, Uturuki, Afrika na Asia. Mchezo bado mbichi huku nikimuona Trump kurudi madaraka uchaguzi ujao.
Gugu! Ahahahahahahah!!!"With due respect" ndio kitu gani hapo ??!!
With due respect is an acknowledgement of the respect that the entity deserves — all the respect that is due (owed) to them. The phrase is used to soften a negative statement, such as a criticism or an unfavorable comparison."With due respect" ndio kitu gani hapo ??!!
Othman empire, Rome Empire na walatino walikuwa imara, lakini kama waswahili wasemavyo kila kilichojuu hushuka. Hofu ya Amerika kwa China inaashiria wasi wasi walionao waamerika juu ya kupitwa na mataifa mengine.USA iko imara na Hela yao..
Kuna kipindi waafrika walionesha msimamo wao pale Rais Albashir wa wa Sudan alipotakiwa Mahakama ya kimataifa,akaudhuria mkutano Africa kusini na hawakumkamata na walimsafirisha kijeshi hadi kwaoBaada ya hii vita, Dunia haitabaki kuwa ile ile. Mengi yatabadilika hasa katika masuala ya Uchumi. Lakini Amerika katika kutapatapa kama kawaida yake itazitisha nchi zitazopenda kuiweka pembeni Dola na hasa nchi za Afrika.
Nina neno moja tu kwa Afrika, kama kuna wakati Afrika inabidi kuwa wamoja ni wakati huu. Afrika now or never!
WEWE NDIO HUNA UELEWA.Tatizo huna uelewa kabisa wa masuala ya currency.
Tafuta mtu anayeelewa akueleweshe mambo yafuatayo:
Gold money
Paper money
Debts money
Ulichokieleza hakina uhusiano na kusambaratika au kuimarika kwa currency.
Tupe huo uwelewa na wengine tujifunze kum crash tu haita saidiaTatizo huna uelewa kabisa wa masuala ya currency.
Tafuta mtu anayeelewa akueleweshe mambo yafuatayo:
Gold money
Paper money
Debts money
Ulichokieleza hakina uhusiano na kusambaratika au kuimarika kwa currency.
Kijiwe cha Urusi pale Kigoma UjijiKijiwe gani hiki
Kuchagua kwenda Marekani ni mawazo yako ww na mapenzi yako na si ya kila mtu maana kuna wamarekani wameondoka nchini mwao kwenda kuishi kwenye hizo nchi ulizo zitaja.badala tufikirie shilingi yetu ipande tuwapite wakenya wewe ndio kwanza unawaza dolla ya marekani ishuke na wakati huo huo unayofikiria hayo raisi wako yuko huko huko marekani kapeleka bakuri lakuombea hiyo dolla .ukiambiwa Kati ya nchi hizi mbili tatu uchague ukaishi kati ya marekani ,urusi,china, iran utaenda wapi utaenda marekani .tukikuambia wewe ni mbuzi utakataaa
Imeisha hiyoKuchagua kwenda Marekani ni mawazo yako ww na mapenzi yako na si ya kila mtu maana kuna wamarekani wameondoka nchini mwao kwenda kuishi kwenye hizo nchi ulizo zitaja.