US Dola matatani kusambaratika, Biden kaliwasha na limemlipukia, anatapatapa

Jamani kama mtu uko mweupe kwenye business and financial ni bora ufiche tu ujinga wako au uwe unauliza tu yangu ni hayo tu.
Mimi na Msukumka tumeona wasomi wa TZ ikiwa ni pamoja na hao wachumi (Mwigulu Nchemba, Prof Lipumba na ......) ni watupu. Ndio maana tumeamua wenyewe kuingia ulingoni. Maana nchi hii tumewaachia wasomi toka masters holder Nyerere mpaka mwaka huu 2022, zaidi ya miaka 50 na hapa ndipo tulipofika.

Yaani kwa miaka zaidi ya 7 wanashindwa hata kupata katiba mpya licha ya kutumia mabilioni ya pesa. Sasa ni wakati wa bush stars kuingia ulingoni, kwa sababu huko vijijini na serikali zetu za kijadi tunafanya vizuri tu. Nyie njoeni na taaifa za vichwa vya habari za kushindana upigaji na kugombea madaraka kila siku.
 
badala tufikirie shilingi yetu ipande tuwapite wakenya wewe ndio kwanza unawaza dolla ya marekani ishuke na wakati huo huo unayofikiria hayo raisi wako yuko huko huko marekani kapeleka bakuri lakuombea hiyo dolla .ukiambiwa Kati ya nchi hizi mbili tatu uchague ukaishi kati ya marekani ,urusi,china, iran utaenda wapi utaenda marekani .tukikuambia wewe ni mbuzi utakataaa
Bahati mbaya umeisahau Bongo katika orodha yako, hivyo sina cha kuchagua hapo. Hata wakitubana vipi tutabaki hapa hapa bongo.
 
Mimi na Msukumka tumeona wasomi wa TZ ikiwa ni pamoja na hao wachumi (Mwigulu Nchemba, Prof Lipumba na ......) ni watupu. Ndio maana tumeamua wenyewe kuingia ulingoni. Maana nchi hii tumewaachia wasomi toka masters holder Nyerere mpaka mwaka huu 2022, zaidi ya miaka 50 na hapa ndipo tulipofika.

Yaani kwa miaka zaidi ya 7 wanashindwa hata kupata katiba mpya licha ya kutumia mabilioni ya pesa. Sasa ni wakati wa bush stars kuingia ulingoni, kwa sababu huko vijijini na serikali zetu za kijadi tunafanya vizuri tu. Nyie njoeni na taaifa za vichwa vya habari za kushindana upigaji na kugombea madaraka kila siku.
Achana na wanasiasa mkuu
 
Tatizo huna uelewa kabisa wa masuala ya currency.

Tafuta mtu anayeelewa akueleweshe mambo yafuatayo:

Gold money
Paper money
Debts money

Ulichokieleza hakina uhusiano na kusambaratika au kuimarika kwa currency.
mkuu nini maana ya petrodollar?
ni faida gani Marekani hupata mafuta na gas zinapo uzwa kwa $? je ni nchi zipi hapa Duniani ni watumiaji wa kubwa wa mafuta na gas na bidhaa zitokanazo na mafuta na gas? je nchi hizo zikiuza bidhaa hizo kwa pesa zao nini kita tokea kwa $?
 
Baada ya hii vita, Dunia haitabaki kuwa ile ile. Mengi yatabadilika hasa katika masuala ya Uchumi. Lakini Amerika katika kutapatapa kama kawaida yake itazitisha nchi zitazopenda kuiweka pembeni Dola na hasa nchi za Afrika.

Nina neno moja tu kwa Afrika, kama kuna wakati Afrika inabidi kuwa wamoja ni wakati huu. Afrika now or never!
How?
 
mkuu nini maana ya petrodollar?
ni faida gani Marekani hupata mafuta na gas zinapo uzwa kwa $? je ni nchi zipi hapa Duniani ni watumiaji wa kubwa wa mafuta na gas na bidhaa zitokanazo na mafuta na gas? je nchi hizo zikiuza bidhaa hizo kwa pesa zao nini kita tokea kwa $?
Kuna wakati kabla ya Magu kule Arusha vitu vingi walikuwa wanalipia kwa Dola. Mpaka mapango ya nyumba walihitaji Dola au pesa ya Kenya. Magu ilimkera na akalipiga pini hilo. Unadhani kulikuwa na athari yeyote kwa pesa ya kibongo kiuchumi?

Mi si mchumi lakini ninachofahamu ni kuwa kitu chochote hupungua thamani yake ikiwa matumizi yake yatapungua au kutoweka kabisa. Hapo unaweza kuunganisha dot.
 
upo sawa kabisa mkuu! hii kitu ina kwenda kushusha dolla kwa haraka kuliko ilivyo kadiriwa! kwenye soko ishanza kuogopeka !!!!
 
Afrika tuna option ya kutumia Dhahabu vile vile katika manunuzi kama tutahitaji hivyo. Kifupi ninachosema ni kuwa baada ya vita hii inayoendelea Urusi - Ukraine, kitachofuata ni vita ya uchumi yenye options nyingi. Hizo nilizozitaja ni baadhi tu lakini vita hii itabadili kabisa mchezo unaochezwa sasa hivi. May be Gadafi alikuwa sahihi, na sasa yanatokea. Hata UN mashakani!
Hivi huyu mbulula anaishi wapi. Hivi uchumi wa urusi unaozidiwa na Jimbo Moja tu la marekani la California ndo itishe Dola hela inayotawala Dunia. Mtoa mada hivi ulishawahi ona hela ya urusi hiyo unaita ruble. Kutoka huko uliko unaweza zunguka kwenye mabank yetu usiipate. Halafu unaleta porojo tu hapa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Maumivu ya kichwa huanza polepooole!
Wakati umefika wa dawa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu mbulula anaishi wapi. Hivi uchumi wa urusi unaozidiwa na Jimbo Moja tu la marekani la California ndo itishe Dola hela inayotawala Dunia. Mtoa mada hivi ulishawahi ona hela ya urusi hiyo unaita ruble. Kutoka huko uliko unaweza zunguka kwenye mabank yetu usiipate. Halafu unaleta porojo tu hapa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Waliozoea vyakuletewa hawawezi fikiria kuunda vyao toka mwanzo. Wanachofikiri ni hapa tu Dola ilipofika na hawajui kuwa kuna wakati ambapo Dola haikuwa na nguvu hii.

Huyu tumuombee tu apate ujasiri wa kuvuka toka katika fikra za kiutumwa mpaka fikra za kujitawala. Safari huanza na hatua moja, na hapo ndipo safari ya kuelekea katika mfumo mpya wa uchumi umeshaanza. Karibu ndugu Witzone 2.
 
Back
Top Bottom