Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiamini wanasiasa.Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
Huyo kapigwa huoni anakwambia kaagiza kariakoo? Ameenda kubadilishia uchochoroniMbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
Haipo sasa. Huo ni ubao wa matangazo tu.
Unayemwambia kafunika masikio na kitambaa kila siku.Ukienda kariakoo zaidi ya 75% ya vitu vinavyouzwa ni imported..means tunatumia dola zaidi kuagiza vitu(demand and supply).
1. Tungeanza kwa kuongeza export ili tupate inflow ya dola...
2. Tungepunguza importation kwa kuongeza viwanda vya ndani
3. Tungetumia gas asilia kwenye magari ili kuokoa dola zinazotumika ku nunua mafuta.
4. Ban importation ya mafuta ya kula na mazao yote ya kilimo ili ku save vijidola vichache tulivyibakiza...after 60yrs of independent na kua na inchi yenye rutuba na maji ya kutosha sioni sababu ya kuagiza misosi nje...ni aibu.
Otherwise tuendelee kulaumiana while doing nothing in the process.
Hili swali ni nzuri ila unayemuuliza hakusoma hesabu wala uchumi.Nini kifanyike dollar 1 iwe sawa na shilingi 100 za kitanzania?
Wadau.
Daktari wetu wa uchumi anasemaje huko?. Dollar sasa imeadimika sana na inazidi kupaa tu. Kiufupi sasa uchumi wetu unachuchumia kifo. Hapa Aiport ya Dar haipatikani imebidi niagize mtu KARIAKOO na hiyo ndio bei. Yaani nilikuwa na Milion yangu nimeambulia dollar 385.
Tuwe makini sana. Maana sasa hata bajet ya tr 40+ sio kitu tena kama tunategemea kununua vitu nje ya nchi.
Mambo ni moto kila kona.
Amepigwa
Mbona nimeingia BOT bado inasoma selling price ni 2336
hakuna kupigwa hapo, izo ni bei za ubaoniAmepigwa