Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #181
Dstv imefakisha huku, nategemea update kupitia nyinyi wadau35' USGN 1-0 SSC
Kama Simba wakikataa kufungwa haitotokeaIla mechi hii hatufungwi
Tumepigwa lapili?Goli la pili
Goli limerahisishwa na Kanoute
Anapanda sana anasahau kuwa onyango ni mzito
Kumbe marudio ya goli la kwanza ila hiliTumepigwa lapili?
Wakikataa kwa kuonesha niaKama Simba wakikataa kufungwa haitotokea
Correction.Onyango Anatunukiwa Yellow Card
Afu we jamaa uwe una hakiki taarifa yako kabla ya kupostKumbe marudio ya goli la kwanza ila hili
USGN wanapata freekick, na mpigaji ni Adebayor