Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..Hapana mkuu kwasbabu akishinda mechi za nyumbani pekee atakuwa na alama 10 kwa alama iliyopatikana leo
Tufanye Assec na Berkane nao wmeshinda mechi zote nyumbani watakuwa na alama 9 hapo huoni kuwa kitakachoamuliwa hapo ni nani aliyevuna point nyingi nyumbani kwa hawa wanaija? Kama Berkane na Assec watamfunga USGN nje ndani watakuwa wanapoint 12
Kina naniNina wasiwasi hao jamaa wawili wanaweza piga hawa watoto wetu wa leo nje ndani huku sisi tunaleta utani tutatoka kizembe kweli
Nacho wapongeza mwaka huu hawajarudia makosaDJ niletee dogo aslay na ule wimbo wake naenda kusema kwa mama uwasindikize nyani fc hadi kwa mama samia
View attachment 2125354
Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake.Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..
Yaani tukishinda mechi za nyumbani inatosha
Hapana mkuu kwasbabu akishinda mechi za nyumbani pekee atakuwa na alama 10 kwa alama iliyopatikana leo
Tufanye Assec na Berkane nao wmeshinda mechi zote nyumbani watakuwa na alama 9 hapo huoni kuwa kitakachoamuliwa hapo ni nani aliyevuna point nyingi nyumbani kwa hawa wanaija? Kama Berkane na Assec watamfunga USGN nje ndani watakuwa wanapoint 12
Huyo adebayo akija kwenye uwanya wa kiwango atawaua
Mbona sisi tuliwatoa Tim ya Naijerie mwaka jana, goli la chama ugenini hukuliona badoMkuu tofautisha nigeria na naija hao wapika pombe sisi tulienda nigeria kwenye mpira umezaliwa wewe umeenda naija (niger) kwa walevi
Hahaaa kuwa simba raha mkuuu!!Utadhani uko hapo niger jf bana kuna viumbe wenye tambo wallah.
Mkuu minakufatilia, lakini minaona iwe hivi,Simba mpaka sasa ana point 4,akishinda mechi mbili za home atakua na point 10.Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake.
Simba itakuwa na point 9
Assec point 9
Berkane point 9
Mpaka hapo watakuwa wanafanana point,. je nini kitatokea endapo Assec na Berkane watamfunga USGN nyumbani kwake? Maanake wote watakuwa wamejiongezea point 3 huku simba akipata alama moja ugenini. Umeelewa?
Hawa mbona watapigwa nyingi! Sema Simba alichelewa kwenda huko na hakupata muda wa kufanya mazoezi kwa hiyo alianza mchezo bila fitness. Hiyo ni hatari sana kwa dakika 15 za mwanzo. Ndio maana kabla hawajakaa sawa ndani ya dk 15 tukafungwa goli. Baada ya hapo japo Simba alikuwa ugenini lakini hakutoa heshima hata kidogo kwa mwenyeji maana alishaona ni wepesi sana. Watabeba kapu nla magoli kwa Mkapa!Pira Lao Hawa ni Papatu Papatu....Wakija Kwa Mkapa Mengi tu
HahaaaaRefa maliza mpira roho inataka kutoka
Sawa ila mimi nilikuwa nazungumzia kimahesabu tu, ila vingine vyote ni uwanjani. Record zipo na zinavunjwa pia tukumbuke na hiloFuatilia record za usgm nyumbani sio rahisi kihivyo kuwafunga hata ahly alichemka hapo
Kwa hiyo tuanze malalamiko kama utopolo japo tunaongoza?Simba kwa group bado liko wazi...tusifurahi sana.
Hapana mkuu sio kweli na wasije wakasoma comment yako wachezaji wetu wakabweteka. Simba anahitaji tena point 1 away na points 6 home ili kujihakikishia kufuzu. Berkane na Asec wamebakiza mechi mbili mbili home maana yake wakishinda zote wanakuwa na points 9. Kama Asec na Berkane kila mmoja wataifunga USG away maana yake watafikisha points 12 kila mmoja huku simba ikiwa na points 10.Zinapita timu mbili kila kundi kwenda Robo fainali..
Yaani tukishinda mechi za nyumbani inatosha
Tusamehe bure ndg yetu....Sasa tumewatofautisha Kumbe Waliowatandika 'Nje ndani' Ni Wanigeria....Basi Sisi Tulivyoona Jina linaanzia na Nige tukajua ndo hao hao kumbe Mwishoni Hakuna RIA...!Mkuu tofautisha nigeria na naija hao wapika pombe sisi tulienda nigeria kwenye mpira umezaliwa wewe umeenda naija (niger) kwa walevi
Wewe nani kakwambia kwamba hawatabweteka?Kwani nani kakwambia kuwa wachezaji wamebweteka
Kwani sie Gendermarie hatutaki kushinda. Achen dharau.Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake...
Mkuuu wasamehe bure hawa Vyura. Kila jambo jema wao wanatia uchuro tuMaswala ya kuashum achana nayo kafanye kazi zingine