KabisaKikubwa dua, tukatafute walau alama 1 kama sio ushindi
Kwani utopolo wanasemaje? wao wako mashindano gani? ok, Azam Federation Cup hongereni.Kila Siku Wamerelax Nini Tatizo?
NakaziaNguvu moja.
Tulie we Kolo upapasweHuu mnaofanya wana yanga ni zaidi ya ufala, Simba ana wakilisha nchi, akishinda Simba imeshinda Tanzania. Utani ubakie ligi kuu na FA au mapinduzi. Linapokuja swala la kimataifa sote tuwe wamoja kumuombea muwakilishi wetu na sio ufala mnaoufanya. Badilikeni pumbav
Na haya mabango ya tiktok?