Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
muulize Karim Konate wa ASEC alivyopotea kwa MkapaHuyo adebayo akija kwenye uwanya wa kiwango atawaua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muulize Karim Konate wa ASEC alivyopotea kwa MkapaHuyo adebayo akija kwenye uwanya wa kiwango atawaua
tulia ww dawa ikuingieUlijificha wapi saizi ndiyo unakuja macho yamekutoka?
ndio kule mliposema 'Hatuchezi, hatuchezi, hatuchezi' ? 🤣🤣🤣Mkuu tofautisha nigeria na naija hao wapika pombe sisi tulienda nigeria kwenye mpira umezaliwa wewe umeenda naija (niger) kwa walevi
jamaa yuko vizuri au yule dogo wa asec Karim konate yuko vizuri afu miaka 17 katupia na leoSimba tumchukue Adebayor mwakani. Naona Patrick Nyembela anatongoza Adebayor aje Simba Sc. Amekubali amesema Simba ni timu kubwa sana
Nani kakupa mamlaka ya kutuzuia kufurahiSimba kwa group bado liko wazi...tusifurahi sana.
Hao wote kwa mkapa tunapiga hilo linaonekana waziSimba kwa group bado liko wazi...tusifurahi sana.
Kama ningekuwa na mamlaka angesajiliwa striker matata hatua ya robo fainali,halafu next season akaungana na Adebayor. Mugalu na Kagere wapigwe chinijamaa yuko vizuri au yule dogo wa asec Karim konate yuko vizuri afu miaka 17 katupia na leo
Mashabiki wa Uto bana mnatia aibu aisee.Mkuu tofautisha nigeria na naija hao wapika pombe sisi tulienda nigeria kwenye mpira umezaliwa wewe umeenda naija (niger) kwa walevi
Ni kundi jepesi kwa Simba kama ikitokea yafuatayo.Yaani Kundi ni Jepesi Sana Kwa Simba
Huyo adebayo akija kwenye uwanya wa kiwango atawaua
amenifurahisha sanaNYEMBERA kafanya yake.... kazi nzuri kwake Adebayoo ni mzuri
Mkuu naona kama umezunguka sana. Short cut ni kwamba Simba Sc ishinde mechi 2 za nyumbani.Ni kundi jepesi kwa Simba kama ikitokea yafuatayo.
1) Simba akatafute point moja ugenini kwa timu mojawapo kati ya Assec au kwa Berkane ili kumfanya timu moja wapo isiambulie point zote za nyumbani kwavile simba ina asilimia zaidi ya 90 kuchukua alama tisa wakiwa nyumbani
2) kama simba wakishindwa kupata alama moja ugenini kwa Assec au Berkane basi watalazimika kuwa waombaji wa mambo mawili la kwanza timu hizo mbili wenyewe kwa wenyewe watoke sare kwa mechi moja wapo na la pili isitokee timu zote mbili yaani Berkane na Assec wamfunge hawa wa Niger nje ndani
Uto kaeni kimya basi, muda huu mnapaswa kutafakari mechi yenu ya pale Manungu,haya ya Kimataifa yana wenyewe ambao ni watoto wa Msimbazi
Hapana mkuu kwasbabu akishinda mechi za nyumbani pekee atakuwa na alama 10 kwa alama iliyopatikana leoMkuu naona kama umezunguka sana. Short cut ni kwamba Simba Sc ishinde mechi 2 za nyumbani.
Berkane sio wazuri kwenye uzuiajiWell done SSc. Hii timu ilifunga goli 3 ugenini week iliyopita