US kutoshiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, Biden aliomba Russia itolewe

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
Wadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila anapochomoza pua.

Naomba kutanguliza shukurani

itakuwwa intelijensia yao imeona kuwa yawezekana kukatokea vita nyingine kikaoni/mkutanoni... US ni wabaya sana linapokuja swala intelijensia na usalama wao...
 
itakuwwa intelijensia yao imeona kuwa yawezekana kukatokea vita nyingine kikaoni/mkutanoni... US ni wabaya sana linapokuja swala intelijensia na usalama wao...
Hamna lolote wanachotaka nikumchafua nakumpiga Vita Russia everywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…