US: Matokeo ya uchaguzi wa Tanzania na Uganda yatazorotesha Usalama kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

Imagine mtu ameshinda uchaguzi lakini she's nowhere to be seen, hawezi hata kutoka na kufanya majukumu yake coz she knows deep down the elections were rigged.

Miaka mitano hii itakuwa miaka ya hovyo sana kwa taifa, wizi, ubadhirifu, huduma mbovu vyote tutavishuhudia.
 
Uchaguzi wa Ethiopia utakuwa kama wa Tanzagiza na Uganda tu ila wa Kenya utakuwa tofauti.
 
TAREHE 23 JANUARI, 2026.

WASHINGTON—U.S. Seneta Jim Risch (R-Idaho), Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni.

Uchaguzi wa Uganda - kama ulivyokuwa uchaguzi wa hivi majuzi nchini Tanzania - ulikuwa uchaguzi wa hovyo usio na maana, ulioandaliwa ili kuhalalisha muhula wa saba wa Rais Yoweri Museveni na miongo minne madarakani.

Lakini zaidi ya Tanzania, Uganda ni mshirika mkuu wa Marekani kwa usalama wa Kikanda. Hata hivyo, utawala wake unatanguliza udhibiti wa ndani kupitia vurugu za kisiasa, utekaji nyara, kufungwa jela, vitisho dhidi ya wapinzani, na matumizi mabaya ya rasilimali za serikali ili kuendelea kushikilia madaraka.

Uganda na Tanzania zinaenda njia inayofanana zinahusishwa na kuzorotesha shughuli za usalama wa Kikanda, zinahusika pia na kuzorota wa usalama wa ndani wa serikali ya Sudan Kusini.

Serikali ya Tanzania na Uganda zinaibua wasiwasi mkubwa kwa nchi nyingine katika chaguzi zijazo, zikiwemo Ethiopia na Kenya.

======For English Audience=======​

PUBLISHED:JANUARY 23, 2026

WASHINGTON—U.S. Senator Jim Risch (R-Idaho), chairman of the Senate Foreign Relations Committee, released the statement below on Uganda’s recent elections.

“Uganda’s elections – like the recent elections in Tanzania - were a hollow exercise, staged to legitimize President Yoweri Museveni’s seventh term and four decades in power.

“But even more so than Tanzania, Uganda is a key regional security partner to the United States. Yet, its ruling regime prioritizes domestic control through political violence, abductions, imprisonment, intimidation of opponents, and the misuse of state resources to maintain its grip on power.

Uganda is also linked to destabilizing regional activities, including in South Sudan—making the regime an increasingly problematic exporter of instability. Tanzania and Uganda are moving along similar paths, raising serious concerns about what this portends for other countries with upcoming elections, including Ethiopia and Kenya.
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Hakuna kipindi kizuri cha kuwashughulikia ipasavyo Ccm na Samia wao kama kipindi hiki.

Wazungu wameshauchoka kabisa upuuzi wao na hawawataki kabisa.

Kama Watanzania tunataka mabadiliko ya kweli na kulikomboa kweli hili Taifa kutoka kutoka mikono ya hawa wauaji, madhalimu na makatili ccm basi huu ndo wakati sahihi. Tuwatumie vizuri sana Marekani, ICC na EU kipindi hiki
Exactly what I have been conveying to you on discussion of this issue.

Ni wajibu wa waTanzania kushughulikia hii hali. Hao wa nje watupe msaada tutimize wajibu wetu..

Wanaweza kutusaidia kwa njia mbalimbali; lakini zote zinahitaji ushiriki wetu kukamilisha ukombozi sahihi wa nchi yetu.
Ni lazima tuwe washiriki wa mstari wa mbele, siyo wa utegemezi wa wengine. tukiwa pembeni.
 
TAREHE 23 JANUARI, 2026.

WASHINGTON—U.S. Seneta Jim Risch (R-Idaho), Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni.

Uchaguzi wa Uganda - kama ulivyokuwa uchaguzi wa hivi majuzi nchini Tanzania - ulikuwa uchaguzi wa hovyo usio na maana, ulioandaliwa ili kuhalalisha muhula wa saba wa Rais Yoweri Museveni na miongo minne madarakani.

Lakini zaidi ya Tanzania, Uganda ni mshirika mkuu wa Marekani kwa usalama wa Kikanda. Hata hivyo, utawala wake unatanguliza udhibiti wa ndani kupitia vurugu za kisiasa, utekaji nyara, kufungwa jela, vitisho dhidi ya wapinzani, na matumizi mabaya ya rasilimali za serikali ili kuendelea kushikilia madaraka.

Uganda na Tanzania zinaenda njia inayofanana zinahusishwa na kuzorotesha shughuli za usalama wa Kikanda, zinahusika pia na kuzorota wa usalama wa ndani wa serikali ya Sudan Kusini.

Serikali ya Tanzania na Uganda zinaibua wasiwasi mkubwa kwa nchi nyingine katika chaguzi zijazo, zikiwemo Ethiopia na Kenya.

======For English Audience=======​

PUBLISHED:JANUARY 23, 2026

WASHINGTON—U.S. Senator Jim Risch (R-Idaho), chairman of the Senate Foreign Relations Committee, released the statement below on Uganda’s recent elections.

“Uganda’s elections – like the recent elections in Tanzania - were a hollow exercise, staged to legitimize President Yoweri Museveni’s seventh term and four decades in power.

“But even more so than Tanzania, Uganda is a key regional security partner to the United States. Yet, its ruling regime prioritizes domestic control through political violence, abductions, imprisonment, intimidation of opponents, and the misuse of state resources to maintain its grip on power.

Uganda is also linked to destabilizing regional activities, including in South Sudan—making the regime an increasingly problematic exporter of instability. Tanzania and Uganda are moving along similar paths, raising serious concerns about what this portends for other countries with upcoming elections, including Ethiopia and Kenya.
Hao wamarekani ni ******* tu.
 
Hoja zangu zinakita mbali, mpaka kwenye seli za mwisho za kumbukumbu kwenye ubongo, yaani mtu anahofia akija gallow bird hapa ata-blow vihoja out of proportions,so anatamani nisije ajadili tu na mandezi,nyumbu wenzie
Una hoja gani na wewe wakati hujaijua JF tulikuwa hatujadili.
 
Pamoja nakusema siwakubali SISIEM, ila kila nchi ipambane na shida zake.

Hao SISIEM tutapambana nao tu, mpaka tuelewane, ila Hakuna uhuru wowote wa kweli utapatikana kwa Millitary interventions kutoka Nje.

Tushayaona ya Libya. Hatuwezi kukubali tena.
Utapamba vipi na mwenye bunduki.
 
Imagine mtu ameshinda uchaguzi lakini she's nowhere to be seen, hawezi hata kutoka na kufanya majukumu yake coz she knows deep down the elections were rigged.

Miaka mitano hii itakuwa miaka ya hovyo sana kwa taifa, wizi, ubadhirifu, huduma mbovu vyote tutavishuhudia.
Wanaume wanamnyanyasa. - Mlata
 
Back
Top Bottom