gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Unataka nini weweKwahiyo unabadili badili majina kulingana na upepo au ndio Stroke wa zamani.
Unataka nini weweKwahiyo unabadili badili majina kulingana na upepo au ndio Stroke wa zamani.
Matako yako.Unataka nini wewe
Njoo uyachukueMatako yako.
Ujue hawa watu walivyo systematic, juzi wameongea kuhusu Tanzania na Uganda kuzorotesha usalama EA, jana wamemtuma US Secretary of State kuja EA wakaitenga Tanzania.Tena huyu jamaa kaongea kwa staha sana. Tanzania tuna viongozi mabumunda sana.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu nafuta kauli,Hapana mkuu,
Nipo ; ila kwa sasa nimekuwa msomaji zaidi kuliko mchangiaji.
ID yangu ni hii moja sina nyingine.
Kuna watu waongo humu, ndio nyie mnaobadili badili ID msijulikane.Nipo JF mwaka wa 19 huu
Acha kudanganyika
Ni kweli huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote uongo na muongo lazima ajulikane tu.Acha kudanganyika
9 Desemba mlisema mtaandamano mkasogeza mbele ikaja 25 Desemba na yenyewe mkaisogeza mbele.Tarehe 17 March 2026 tunamuapisha Rais wa mpito, wahamiaji haramu toka Rwanda na Burundi anzeni kurudi kwenu.
Sio kila taarifa upewe wewe ushahidi ili iwe ya kweli. Serikali za wazungu zinaongozwa na maslahi, ikiwa serikali yetu ipo tayari kutimiza maslahi yao basi tambua kuwa hawana muda na visasi vyenu.Weka huo ushahidi kuwa EU wameiondolea vikwazo Tanzania. Unadhani kila mtu humu ni poyoyo kama nyie mliojazana huko UVCCM?
Marais wote sita wanaishi na wazungu kwa kuhakikisha maslahi ya pande mbili yanapewa vipaumbele.Kwahiyo Samia kazingatia masilahi ya "Who are you"???
Namtafuta kijana Lucas mwenye miaka 18 kulingana na makadirio aliyopewa aje atoe neno kwani ni mmoja wa wanaoaminiwa sana na kundi lake kuwa bongo inachoma kisawasawaa.Luka Mwashamba tafadhaki karibu uwanjani uwanja ni wako,ni matumaini yangu huta niangusha.TAREHE 23 JANUARI, 2026.
WASHINGTON—U.S. Seneta Jim Risch (R-Idaho), Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni.
Uchaguzi wa Uganda - kama ulivyokuwa uchaguzi wa hivi majuzi nchini Tanzania - ulikuwa uchaguzi wa hovyo usio na maana, ulioandaliwa ili kuhalalisha muhula wa saba wa Rais Yoweri Museveni na miongo minne madarakani.
Lakini zaidi ya Tanzania, Uganda ni mshirika mkuu wa Marekani kwa usalama wa Kikanda. Hata hivyo, utawala wake unatanguliza udhibiti wa ndani kupitia vurugu za kisiasa, utekaji nyara, kufungwa jela, vitisho dhidi ya wapinzani, na matumizi mabaya ya rasilimali za serikali ili kuendelea kushikilia madaraka.
Uganda na Tanzania zinaenda njia inayofanana zinahusishwa na kuzorotesha shughuli za usalama wa Kikanda, zinahusika pia na kuzorota wa usalama wa ndani wa serikali ya Sudan Kusini.
Serikali ya Tanzania na Uganda zinaibua wasiwasi mkubwa kwa nchi nyingine katika chaguzi zijazo, zikiwemo Ethiopia na Kenya.
======For English Audience=======
PUBLISHED:JANUARY 23, 2026
WASHINGTON—U.S. Senator Jim Risch (R-Idaho), chairman of the Senate Foreign Relations Committee, released the statement below on Uganda’s recent elections.
“Uganda’s elections – like the recent elections in Tanzania - were a hollow exercise, staged to legitimize President Yoweri Museveni’s seventh term and four decades in power.
“But even more so than Tanzania, Uganda is a key regional security partner to the United States. Yet, its ruling regime prioritizes domestic control through political violence, abductions, imprisonment, intimidation of opponents, and the misuse of state resources to maintain its grip on power.
Uganda is also linked to destabilizing regional activities, including in South Sudan—making the regime an increasingly problematic exporter of instability. Tanzania and Uganda are moving along similar paths, raising serious concerns about what this portends for other countries with upcoming elections, including Ethiopia and Kenya.
NamsubiriHuu uzi lazima aje yule jamaa kwenye profile yake kuna picha ya mdada.
Lazima aje kubwabwaja hapa
Rubbish.
Huyo naye ni genge la yule kijana aliyekadiriwa 18.Hoja zangu zinakita mbali, mpaka kwenye seli za mwisho za kumbukumbu kwenye ubongo, yaani mtu anahofia akija gallow bird hapa ata-blow vihoja out of proportions,so anatamani nisije ajadili tu na mandezi,nyumbu wenzie
Safari ya kurudi kwenu Rwanda 🇷🇼 imewadia9 Desemba mlisema mtaandamano mkasogeza mbele ikaja 25 Desemba na yenyewe mkaisogeza mbele.
Sasa imekuja 17 March na yenyewe mtaisogeza mbele, mnachoshindwa kuelewa ni kwamba sio kazi rahisi kuuondoa mfumo wenye miaka zaidi ya 60 kwenye utawala wa nchi.
Kwetu Ngara, usijifanye mtanzania kupitiliza, kwamba unayo kila haki.Safari ya kurudi kwenu Rwanda 🇷🇼 imewadia