- Thread starter
- #61
Serikali ya Marekani sio sawa na yenu ya wizi kila kitu huwekwa wazi mtandaoni.Sio kila taarifa upewe wewe ushahidi ili iwe ya kweli. Serikali za wazungu zinaongozwa na maslahi, ikiwa serikali yetu ipo tayari kutimiza maslahi yao basi tambua kuwa hawana muda na visasi vyenu.