US MILITARY OFFICIAL: Meli ya USS Gerald R. Ford ilipata changamoto ya kuwaka moto wakati wa doria

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
images (52).jpeg

Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78):

Moto huo ulitokea tarehe 12 Machi, 2026.

Moto ulianza majira ya jioni wakati meli hiyo ikiwa katika doria za kawaida (routine operations) kwenye Bahari Nyekundu.

Ripoti za awali zilionyesha kuwa moto ulisababishwa na hitilafu ya kiufundi katika mashine za kukaushia nguo (industrial dryers) kwenye eneo la dobi la meli hiyo na kujeruhiwa mabaharia wawili.

Tukio hili limekuja wakati ambap kuna tahadhari kubwa katika ukanda huo kutokana na mivutano mkubwa kati ya Marekani na Iran, ambapo meli hiyo inatumika kama kituo kikuu cha mashambulizi na ulinzi wa anga.

images (53).jpeg

Taarifa rasmi: https://www.cusnc.navy.mil/Media/News/Display/Article/4431969/statement-of-uss-gerald-r-ford/
 
View attachment 3557140

Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78):

Moto huo ulitokea tarehe 5 Machi, 2026.

Moto ulianza majira ya jioni wakati meli hiyo ikiwa katika doria za kawaida (routine operations) kwenye Bahari Nyekundu.

Ripoti za awali zilionyesha kuwa moto ulisababishwa na hitilafu ya kiufundi katika mashine za kukaushia nguo (industrial dryers) kwenye eneo la dobi la meli hiyo na kujeruhiwa mabaharia wawili.

Tukio hili limekuja wakati ambap kuna tahadhari kubwa katika ukanda huo kutokana na mivutano mkubwa kati ya Marekani na Iran, ambapo meli hiyo inatumika kama kituo kikuu cha mashambulizi na ulinzi wa anga.

View attachment 3557142
Mtahangaika sana.
 
Yani itoke ukooo ije ipate hitilafu mitaa ya kiumeni🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom